Kuna binti nataka nimuingize mtegoni

Kuna binti nataka nimuingize mtegoni

Kiapo ni dhana tu inayojengwa na maneno ikiwa haina uhalisia wowote ambapo saa yoyote anaweza kukikana. Fanya yanayowezekana ila pia nakusihi usiwekeze kwa mwanamke hata kama ni mkeo. Utakufa kujiua
 
Kama unachotaka kukifanya unaona ni kizuri, kwanin na ww usiape?

Ya nini kumtafutia matatizo binti wa watu?

Ama kweli binadamu ni wa kujihadhari nae sana.
hahahahaa to be honest mkuu umereason kitu sensitive sanaa, by the way mimi nina nia ya dhati na wewe
 
Kiapo ni dhana tu inayojengwa na maneno ikiwa haina uhalisia wowote ambapo saa yoyote anaweza kukikana. Fanya yanayowezekana ila pia nakusihi usiwekeze kwa mwanamke hata kama ni mkeo. Utakufa kujiua
mkuu kiapo kipo amini nakwambia tazama watu waliokiuka viapo wanavyokuwa
 
hahahahaa to be honest mkuu umereason kitu sensitive sanaa, by the way mimi nina nia ya dhati na wewe
Tumia njia mbadala, mpange akuelewe then ufanye michakato mtambulishane na ulipe mahari.....
Hapo atajiheshimu akijua tayari ni mtu wako.

Hayo mengine hayo hapana.
 
well said boss
 
Leo tu nimetoka kuvunja mahusiano ya jamaa mmoja ..alikuwa km ww tyu sijui ww nn kitanizuia
 
Kiapo ni dhana tu inayojengwa na maneno ikiwa haina uhalisia wowote ambapo saa yoyote anaweza kukikana. Fanya yanayowezekana ila pia nakusihi usiwekeze kwa mwanamke hata kama ni mkeo. Utakufa kujiua
Huijui siri iliyopo nyuma ya kiapo ndomana unayasema hayo.......viapo vimewatesa wengi sana
 
Kiapo ni agano la pande mbili unatakiwa kutekeleza na kusimamia mapatano
Kiapo chochote husimamiwa na mungu mwenyewe uwe radhi kutokivunja hilo litakuwa jambo jema kwenu
Kiapo kinapo vunjwa upande mmoja hupata baraka na upande mmoja hupata laana angalia hilo lisikutokee ukaja jutia
Chunguza ndoa/mahusiano yaliyo vunjika mmoja yuko vizuri mmoja anahangaika jihadhari na kiapo
 
Asante sanaa boss
 
Back
Top Bottom