Kuna biashara ni hasara tupu

You hv a point...infact a very good point.....but nataka nikufafanulie kwamba wawekezaji wakubwa target zao ni za muda mrefu sana ie faida ianze ku materilize in ten to twenty years to come.... investment kama hizi ni lazima uwe na mtaji wa kutosha....sio kuunga unga kama wauza bamia... Ambapo akianza biashara leo anataka aione faida kesho........
Jambo la pili majengo ya hoteli hizo wanatumia kuweka kama dhamana wanapokopa mikopo mikubwa bank....ambapo pesa ya mkopo wanazopata wanatumia ku run biashara zingine ambazo zipo liquid... volatile....karibu kwenye ulimwengu wa biashara...
 
Hapo nawe una point tena ya maana
Ila na mimi nimewaza pia kuna wawekezaji wengine ni money laundering kwa hiyo wamezifichia hapo kwenye mijengo na mahoteli lakini ni za watu waliojifichia hapo.
You never know


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hapo nawe una point tena ya maana
Ila na mimi nimewaza pia kuna wawekezaji wengine ni money laundering kwa hiyo wamezifichia hapo kwenye mijengo na mahoteli lakini ni za watu waliojifichia hapo.
You never know


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni kweli kabisa mkuu....ni namna ya kutakatisha pesa....pia kwa baadhi ya wafanyabiashara
 
leo nimefanya ziara tena restaurant kadhaa.

kuna moja inaitwa free point ipo jirani na jengo la LAPF

nimekaa hapa kuanzia saa nane kamili mchana hadi saa moja jioni. watu ni wachache mno viti vingi vipo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo nimefanya ziara tena restaurant kadhaa.

kuna moja inaitwa free point ipo jirani na jengo la LAPF

nimekaa hapa kuanzia saa nane kamili mchana hadi saa moja jioni. watu ni wachache mno viti vingi vipo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app


Ni kweli jana nami pia nilikuwa maeneo hayo naona watu ni wachache sana ,pia kuna mgahawa mwingine upo karibu na ofisi ya Haloteli na pale mahali watu wanakaaga sana wanaangalia TBC sijui panaitwaje ,mzunguko pia hapo sio mzuri


Ushauri wangu naona unafaa kwa huo mtaji wako ni uanze na mama ntilie ,tafuta wafanya biashara wako uwauzie chai na chakula kwa kuwapelekea madukani kwao ,,kwa kuanzia ukipata hata 20 ni wengi sana ,

Mdogo mdogo mwisho wa siku unapata kitu kizuti
 
hapo umenifurahisha kuhusu kuwapelekea wafanyabiashara maana ndo idea ambayo naifikiria sana. Nafikiri kwa ushawishi nilio nao naweza kuwashawishi wenye maduka wengi niwe nawapelekea chakula.

Afu bila shaka nilikuona free point jana hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 




Changamkia fursa Mkuu ,,sema kwa sasa niko mbeya ,ningekuwepo hapo mjini ningekusaidia pia kukutembeza kwa ndugu wengi hapo mjini wenye maduka ,mwangaza ,barabara ya saba na sita ,,na baadhi ya watu wengine wengine ,ukipata watu 20 wa kuanzia ni wengi sana ,

Kikubwa usafi na ubora wa chakula chako na kauli za biashara,


Kama ulioa mtu emevaa kadeti nyeusi na viatu vya waz ,umri chin ya miaka 25 ,huenda ndo mimi uliniona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…