Kuna biashara ni hasara tupu

Hawana shida ya kurudisha faida yao saivi..target yao wamelenga 5 yrs huko WATU hawana presha mzeee wewe tu Ndo una presha...IGA UFE.
 
asante sana kwa kunielewesha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana shida ya kurudisha faida yao saivi..target yao wamelenga 5 yrs huko WATU hawana presha mzeee wewe tu Ndo una presha...IGA UFE.
kuna biashara ya chakula nataka nifungue ila katika tafiti zangu nashuhudia mambo kama hayo nabaki najiuliza haka kamtaji kangu cha 2M si katapotea nianze upya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni UWEKEZAJI wa muda mrefu
Kuna siku mambo yatakuwa mazuri watapata wateja
 
Hao wengine unaweza kuta wamefanya uwekezaji wa muda mrefu, hawajali sana kupata faida ndani ya muda mfupi maana wana biashara zingine zinazowaingizia faida kubwa au wana mitaji mikubwa
 
Write your reply...ukitaka Kilima watu wanavyo Ana Bar Funguo kipub hata Cha kontena wema watoto weupe uone Viatu vingine huwa havihitaji uchawi etii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…