milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
sidhani kama wanapata mkuu. kuna restaurant moja high class wanauza chicken na burger lakini toka niifahamu sijawahi kukuta watu zaidi ya kumi wapo pale. muda wote viti vipo empty. faida gani ipo hapo mkuu ukilinganisha na gharama za uwekezaji mkubwa kama uleukiona wanafungua kila siku ujue wanapata faida wangekua wanapata hasara wangekua wameshafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
kwel kila mtu na bahat yake. kuna mahali nilipita naona maduka yapo eneo la uchochoron ndanj ndani haswa ila kila siku wanafungua means kuna faidaKila mtu ana bahati yake kwenye biashara fulani na mahali fulani. Kuna watu wanaweka hotels vichochoroni wanajaza, wengine maeneo classic ila viti na vitanda viko wazi.
Angalizo: Ngurdoto na Impala hotels zinauzwa licha ya kujaza wateja enzi za awamu ya nne.
serikal imetuomba tuuite mji wa dodoma jijiEti jiji
Sent from my iPhone using JamiiForums
my mind is too weak to understand this reply...hebu tumia lugha ya kawaidaNenda sehemu ambayo hawahitaji umeme alafu funga solar yako andika bango anza kuchaji simu kwa shs kadhaa, vuta subra muda utafika ...
uko sahihi. maybe faida kwa siku za usoni ila sio sasaHao wameangalia kwa jicho la mbali, acha wale hasara sasa ila niamini huko tunapoelekea kwa Dodoma itavyokuwa hawatokuja kujuta.
what about restaurant ambazo sio hotelViti vitakua wazi ila vitanda vyote vimejaa [emoji3166]
Sehemu yoyote unayoona biashara inafanyika kwa hasara hasa inapokuwa ni eneo jipya kwa biashara hiyo, hupaswi kuona, kudhani ni hasara na hakuna wateja.my mind is too weak to understand this reply...hebu tumia lugha ya kawaida