Kuna baadhi ya wanaume humu JamiiForums hawana busara hata kidogo

Status
Not open for further replies.

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,227
2,000
Leo sitaki hata salamu.

Kuna watu wamenikosea kiasi kwamba wamenilazimisha kuwafuata PM na kuwapa haki yao maana wamejitoa ufahamu.

Kuna uzi uliwekwa na nikikumbuka sheria ya mitandao inadai usihukumu watu bila ushahidi hata magazeti yameshurutishwa hivyo. Sasa kosa langu ni kuuliza "mleta mada mbona hujaweka ushahidi"? Na sio mimi pekee niliyeanza kuulizia ushahidi.

Naulizwa kwanini nilitokwa na povu? Nilitokwa na povu kwa mhusika kuanza kutengeneza connection ya kutaka atoe ushahidi na kuanza kusema nahusikaaa. Aise unanijua?

Sipendi ujinga wenu kwanza mimi nakemea sana uovu, fuatilia post zangu. Kazi yangu ndo inayohusika na kurekebisha jamii.

Nimechukia sana leo.
 
Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
414
500
punguza munkari....if u take life too criaz u won't get away alive//...... take life as a simple game..... utajipa stress coz hashndwi kubadili account akakujia kivingine sijui utalia mara ngapi kila wakifanya hvo,,, kuna watu hpa hata ukitukanaje wao wanakutazam as there is no effect .. we ukikaa kmya inatosha kwa wanaokufaham nje ya jf kukuelewa ila ukifanya hv unakua walewale tu.
 
Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,227
2,000
Kweli unatutia aibu wanawake wenzio ukijiona una mihemko ya ajabu kama hii usiwe unachangia uzi wenye mihemko kama yako
Eti nachangiaaa Uzi.Hajui wapi umekurupuka toka Sijui wapi.Uzi Wangu mwenyewe.Aibu Uone Wewe.Kuna wanawake vimbelembele sana.Kutaka kuonekana wa Heshima kumbe mapaka ya Bar
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,481
2,000
Tatizo lenu humu mnajuana!Mimi nisiyewajua naweza kuona ni jokes tu hata kama mtu anasisitiza,ila kwa vile mnajuana basi huenda kuna ukweli fulani ukasemwa kuhusu mtu mmoja ukachanganywa na jokes ikaonekana kitu serious!Ila pole sana mkuu
 
Wote mngekuwa Na uelewa kama wa huyu Kaka Pm ningewafuataje.Kwanza kataka kujua what's wrong.Hata chizi ana haki yake.Usomchukulie poaaa. Sasa wana tokea Watu Hapa.Wao Ni kupinga Kila.kitu.Nimeshambuliwa utu wa jamii ninayeiheshimu.Nisisemee.Eti Aibu.Aibu gani.Aibu ataipata asiyetoa Ushahidi wa tuhuma.Hata mahakani ushahidi.Ni.muhimu.Ingekuwa Hivyo.Kila MTU angemfungulia kesi MTU kwa hila.Aksante sana.Barikiwa.
 
ElviceJunior

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
311
500
Aisee
Hakuna kitu kinachokera sana kama mtu kuhisi anastahili kupewa haki while hiyo haki hapewi, halafu siku zote penye wengi pana mengi pia.
Kinachotatarisha hapa ni ukinzani baina ya pande mbili
1 upande wa Heloo
2 upande wa BAK
Kila mtu anaona (anadai yupo right kabisa), Sitaki chokonoa sana but mi niwaombe tu Mama yangu Heloo najua una hali gani (siku zote tuhuma zisizo za ukweli zinauma sana zaidi ya maumivu yenyewe), nikusihi tu jaribu kutulia japo kwa kujilazimisha make ni vigumu kiuhalisia.
Kashasema yote hayo wapo walioyapokea kwa,mtazamo hasi na pia wapo waliopokea kwa mtazamo chanya, watu wanasemwa kwa mazito, watu wanapoteza vitu lakini pia watu wanawapoteza watu lakini life goes on, mi naomba tu Mungu akutie nguvu walau usifanye kibaya ulichopanga kufanya.
Halafu nyie wakubwa zetu mnapochafuana na kuvuana nguo humu sisi tutafata mfano upi jamani?.
NATUMAINI MIMI HAUTONITUKANA PM.
Ahsanteee.
 
Last edited:

Aksante kwa Ujumbe wako mzuri.Wewe pm hapana.Upo good.BAK hahusiki.Nilitaka awaambie hao wanaodhani.Mimi nafanan Na Hayo Magroup ya uchafu.Mfano.Sasa Hivi uambiwe Umeua au umezini.nje ya ndoa Ili Hali hujafanya Hivyo.Utanyamaza Eti ukilalamika umefanya au unajitetea.nafsi yako.Aksante kwa kuelewa mpendwa.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom