Kuna baadhi ya wanaume humu JamiiForums hawana busara hata kidogo

Status
Not open for further replies.
Mie hata kwenye uhalisia achilia mbali JF, kama unaleta mambo ya vumbivumbi ntakutazama tu na kunyamaza...najua ni upepo tu utapita.
Ndomana mimi naishiaga tu
Kucheka kwa dharaaaaaaaaaau hata Smart911 mwenyewe anajua hilo..

Tena kujitetea huku ndo kabisaaaaa it makes things even worse!! make watu wanazidi kukujua zaidi na zaidi mfano mimi cheki sasa naanza kufuatilia uzi uleeee nahuu comment by comment Tehteh

Watu wakikuchokonoa Bora kuwapotezea tu

Cc Smart911
 
Aaaah! Yaani mtu amchafue Samaritan wa JF alaf nikose usingizi? Nna mambo mengi sana yanayohitaji muda na kuninyima usingizi. JF hua ni sehem ya kutolea uchovu na burudani tu, haijawahi kuniangusha.

Kwenye maisha usihangaike sana na watu wanavyowaza au kusema kuhusu wewe, kama unaamini uko sahihi na unachokifanya unafurahia, hauvunji taratibu , endelea na maisha yako. Huwezi kuwaridhisha binadamu...
Kweli Baba yoyoo halaf sio kitu humu unachulia serious aisee utakufwaa kabla ya siku zako
 
Usichukie kila kitu humu serious mdada, mie na upole wangu kuna siku niliyarushiwa hayo yako ni kidogo sanaaa....

Ni kuwapuuza watajiona wajinga tuu, we sema asante pita. Hilo neno litawaumiza maana wanajua hukustahili. Na ndivyo nilivyo fanya mie...

BAK anakujua, mumeo anakujua inatosha. Sisi hata hamna sababu ya kujieleza maana wengine wanazidi kukubeza...

Tulia na mumeo huku jf ni kichakani hebu chukulia ni mwiba tu umekuvuta nguo, we usivute nguo itachanika. Geuka utoe mwiba tena kwa akili usijekuchoma na wewe. Sasa tuendelee na safari mdada. Just let it go.....
word
 
Kweli Baba yoyoo halaf sio kitu humu unachulia serious aisee utakufwaa kabla ya siku zako

Mambo yenyewe magumu hivi kwanini ujitwike mizigo mingine isiyo na ulazima? Mama yeyoo mbona watu hawajifunzi kutoka kwako? mpeni twisheni kidogo.
 
Pole mdada JF wengine hawajali umekasirika au laah!

We kaa tu kimya litapita tu hili watu watasahau na utaendelea na maisha yako, la muhimu wewe ndiyo unajijua ulivyo.
 
kama naweza kukushauri dada yangu ni kua kitu muhimu hpa oga ulale kama una mme go cuddle with him,,,, hii michezo haihitaji hasira itakuumiza tu yaan hpa kuna watu wanakuzngua tu they dont mean it,,,,... the more u vent off ur anger the more u get criticized and made fun of,...
Words
Kweli unatutia aibu wanawake wenzio ukijiona una mihemko ya ajabu kama hii usiwe unachangia uzi wenye mihemko kama yako
 
Ki ubinadamu, inauma sana kuzushiwa jambo, hasa lisilokua na ukweli. Ila kuna wakati inabidi tujifunze kuachilia mambo mengine yapite tu. Hatuwezi kupambana au kujibu kila kinachosemwa na watu. Hapa tunafaida zaidi kwa sababu hatufahamiani.

Ila napo nitoe angalizo, hata kama tunatumia ID fake, bado sie tunabaki kuwa binadamu wenye hisia, sio vizuri kuamua kwa makusudi kuchafuana kama hakuna ulazima.

Ningemuomba tu Heloo achukulie hii kama changamoto aendelee na mambo mengine yenye manufaa kwake.
 
Duh haya mambo yalikuwa yamalizwe kimya kimya tu...Bila ya busara za wengi humu nyuzi kama hizi zisingeisha.Anyway kila mtu na mawazo yake,hapangiwi mtu na kuepusha shari ni muhimu zaidi.
 
Kuona app ya jf kwa mkeo umenyong'onyea wakati wewe unakesha hapa
.
.
Hubby tuvumiliane tu kwa kweli..jf sihamiii.
Wife sasa kweli kabisaaa yanii kumbe huko mnapeana mbinu shirikishi za kechepushwa, Haya sasa mtu hadi kaenda kukutana na wanaume Wa dar kakutana na Jaza ujazwe....

demi wangu ile safari ya dar ulikuwa salama kweli mama? Ujue utaniua kwa shinikizo mwenzio
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom