Kuna baadhi ya wanaume humu JamiiForums hawana busara hata kidogo

Status
Not open for further replies.
Aksante kwa Ujumbe wako mzuri.Wewe pm hapana.Upo good.BAK hahusiki.Nilitaka awaambie hao wanaodhani.Mimi nafanan Na Hayo Magroup ya uchafu.Mfano.Sasa Hivi uambiwe Umeua au umezini.nje ya ndoa Ili Hali hujafanya Hivyo.Utanyamaza Eti ukilalamika umefanya au unajitetea.nafsi yako.Aksante kwa kuelewa mpendwa.
Barikiwa sana Mkuu (SHEMEJI YETU) mkumbatie sasa baba walau mtafute asubuhi ilipo, achana na hizi harakati .
 
Kumbe kukaa siti ya mbele kuna raha hivyo.

Niliunyaka uzi bado mbichi kabisa, nimejionea kila kitu hadi muda huu.

Kutokana na mjadala kutoka pande zote mbili, kuna ukweli wa kutukuka kabisa. Bila shaka hili litakuwa funzo kwa wengine na kwa wahusika watashika adabu na kujirekebisha na tabia ya namna hiyo.
 
Usichukie kila kitu humu serious mdada, mie na upole wangu kuna siku niliyarushiwa hayo yako ni kidogo sanaaa....

Ni kuwapuuza watajiona wajinga tuu, we sema asante pita. Hilo neno litawaumiza maana wanajua hukustahili. Na ndivyo nilivyo fanya mie...

BAK anakujua, mumeo anakujua inatosha. Sisi hata hamna sababu ya kujieleza maana wengine wanazidi kukubeza...

Tulia na mumeo huku jf ni kichakani hebu chukulia ni mwiba tu umekuvuta nguo, we usivute nguo itachanika. Geuka utoe mwiba tena kwa akili usijekuchoma na wewe. Sasa tuendelee na safari mdada. Just let it go.....
 
Usichukie kila kitu humu serious mdada, mie na upole wangu kuna siku niliyarushiwa hayo yako ni kidogho sanaaa....

Ni kuwapuuza watajiona wajinga tuu, we sema asante pita. Hilo neno litawaumiza maana wanajua hukustahili. Na ndivyo nilivyo fanya mie...

BAK anakujua, mumeo anakujua inatosha. Sisi hata hamna sababu ya kujieleza maana wengine wanazidi kukubeza...

Tulia na mumeo huku jf ni kichakani hebu chukulia ni mwiba tu umekuvuta nguo, we usivute nguo itachanika. Geuka utoe mwiba tena kwa akili usijekuchoma na wewe. Sasa tuendelee na safari mdada. Just let it go.....
Agiza daku nitalipia..
Umeshusha nondo haswa bibie tatizo mtoa mada ka panic sana..
 
Aaaah! Yaani mtu amchafue Samaritan wa JF alaf nikose usingizi? Nna mambo mengi sana yanayohitaji muda na kuninyima usingizi. JF hua ni sehem ya kutolea uchovu na burudani tu, haijawahi kuniangusha.

Kwenye maisha usihangaike sana na watu wanavyowaza au kusema kuhusu wewe, kama unaamini uko sahihi na unachokifanya unafurahia, hauvunji taratibu , endelea na maisha yako. Huwezi kuwaridhisha binadamu...
 
Ndo hata mi nashangaaga

Maisha ya JF namimi katika uhalisia quite different.

Cc Smart911
 
:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Pole dada, hao sio watu wazuri kabisa. Naona wanataka kukuvunjia ndoa yako eeh! Yani wanataka ukose uhondo wa ndoa na wakati ndoa zenyewe siku hizi ni ngumu kupatikana.

Wasamehe bure. CC wana JF tumeshawapuuza...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom