Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 91
- 203
Kidogokidogo hujaza kibaba.... Kuna wewe, mimi na yule.Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili beganiπππ. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.Aisee hili taifa Lina polisi njaa sanaπ
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah
Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.ππ
Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbaliππ.. nikawapa elfu kum wakaniachia.... Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili beganiπππ. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Makosa ya bodaboda, bajaj na maguta fine zake ni 10,000. Ni bora angewaambia wamuandikie akalipe iliwe na serikali kuu.Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.
Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
Umeletewa leseni nyumbani mkuu fine ya Bajaji na boda ni moja tu Tsh 10,000.Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.
Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
Wewe ni mjinga.Aisee hili taifa Lina polisi njaa sanaπ
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah
Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.ππ
Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbaliππ.. nikawapa elfu kum wakaniachia.... Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili beganiπππ. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Sheria ya wapi hyo 30,000?Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.
Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
Kwahy kipi Bora turuhusu kutoa na kupokea rushwa ili turuhusu uzembe kuendelea kushamiri au tusimamie sheria ili kuokoa maisha ya wengine?Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.
Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
Watakamata mwingine na mwingine wote hao watatozwa rushwa mpaka mgao ukae sawaAisee hili taifa Lina polisi njaa sanaπ
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah
Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.ππ
Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbaliππ.. nikawapa elfu kum wakaniachia.... Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili beganiπππ. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Sio elfu 10?Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.
Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
πππAisee hili taifa Lina polisi njaa sanaπ
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah
Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.ππ
Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbaliππ.. nikawapa elfu kum wakaniachia.... Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili beganiπππ. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Hawatosheki na mishahara yaowAtu wanamabunduki manakimbizana na boda boda,hata huku kwetu wapo unakuta wapo wawili na bunduki wanavizia wale hela ya boda boda