Kuna askari wazuri wachache katika hii dunia kama askari huyu hakuna mfano wake.

kiufupi ni mtu mzima huyu..ana utu wake na ndivyo ipasavyo..ila nimetembea maeneo fulani nchi jirani mwaka jana nikashuhudia kijana mdogo nadhani miaka 14-16 akipewa kichapo heavy na umati kisa kapora..halikukaa vizuri manake yule bado yuko kwenye ulezi na ingekuwa vyema kumkosoa tu..
 
Hawa wa hapa kwetu....
polisi%252Bna%252Bwatu.jpg
 
kuna afande flani alikuja mshika mpangaji mwenzetu nilishangaa sana

alimruhusu aoge, anywe chai zaidi akatwambia tuwajulishe ndugu zake ama kama tuna weza tuwahi kwa mwenye kiti kuandaa dhamana ya jamaa.
Mwishowe ikawa vipi?
 
Sio kila kazi inaweza kufanywq na yeyote. Nchi zingine zinaajiri vichaa na kuwapa kazi ya kulinda usalama wa wenye akili timamu!
 
Askari wa hivyo wapo wachache sana
sana, jamaa hana(ga) shida kabisa, nimewahi sikia aliwahi muhoji mzee flani na kumbana ipasavyo mzee kaanza kutiririka jasho na kutetemeka akaomba ndugu waje wamdhamini haraka sana. tofauti na hapo yule mzee asilazwe mahabusu ila uzembe wa jamaa wakamlaza mzee alifariki yule.
 
Huyu askari ni mfano wa kuigwa huku kwetu ukikamatwa na kosa Kama hilo utawekwa lock up, na jamaa zako itabidi watoboke mifuko kukutoa.
 
sana, jamaa hana(ga) shida kabisa, nimewahi sikia aliwahi muhoji mzee flani na kumbana ipasavyo mzee kaanza kutiririka jasho na kutetemeka akaomba ndugu waje wamdhamini haraka sana. tofauti na hapo yule mzee asilazwe mahabusu ila uzembe wa jamaa wakamlaza mzee alifariki yule.
Basi ndugu walikosea sana. Sema kuna wanakuwa hovyo sana. Hawataki hata kukusikiliza kabisa
 
Tofautisha kuna jambazi na mwizi ni vitu 2 tofauti. Mwizi ni binadamu mwenye njaa anaiba kwa sababu fulani anaiba kwa sababu ana njaa na jambazi anauwa na kunyang'anya kwa nguvu. Jambazi anatumia silaha na uibaji wa nguvu ukitaka usitake. Tofauti na mwizi anakuibia wewe haujuwi sasa kati ya jambazi na Mwizi,Jambazi ni binadamu mbaya sana kuliko Mwizi.


Jambazi ni sawa na mawaziri wetu enzi ya Kikwete na marais waliopita ukiondoa Nyerere tu. Tofauti ya hawa ni kwamba walikuwa wanapora mali za umma kwa ubabe na majigambo tena bila hata huruma kwa watanzania wenye hizo mali zao. Wananchi wakilalamika njaa walikuwa wanachekewa tu na kudanganywa nchi yetu ni masikini sana lakini viongozi hao hao wanapeta na machangudoa wao kwa kwenda kula raha Dubai/London kila wikiendi.
 
Mkuu asikwambie mtu US kugumu, watu wanaishi maisha magumu kule si kitoto. Kuna watu wanaishi kwa sticker, yaani kula kwa sticker. Hapo hapo wanaleta propaganda kuwa baadhi ya mataifa hasa hasa Russia ndio wana maisha magumu.
russia inaingiaje hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom