Kuna askari wazuri wachache katika hii dunia kama askari huyu hakuna mfano wake.

Huwez amin mkuu uarabun ukiishi kwa kufuata sheria zao utaishi kwa raha sana.Waarabu wabaya sana kama utaishi kinyume na sheria zao
Ni kweli hata Ulaya ukishi kwa sheria zao utaishi kwa mani lakini ukienda kinyume cha sheria moto utakuhusu cha mtema kuni utakiona.
 
Askari wa bongo uhuni , juzi nimeshuhudia live anamuambia dereva toa buku mbili tu umetoboa huko mbele hamna vikwazo tena! Ruksa ya pesa ya brashi imewapa jeuri ya ajabu.
 
Huwez amin mkuu uarabun ukiishi kwa kufuata sheria zao utaishi kwa raha sana.Waarabu wabaya sana kama utaishi kinyume na sheria zao
Kwa jinsi wanavyotendewa watu huko uarabuni hasa watu weusi nmetokea kuwachukia waarabu toka damuni aseee hata mtu anieleze nni mm ntawachukia tu.
 
Kifupi askari muungwana na labda aliisha pitia msoto anajua nenge ni nini hana gwanda nafsini kwake kavaa ubaba.
 
Amerika na Ulaya kusikie hivyo hivyo ukiwa huna kazi ni kugumu sana hakuna mtu wa kuweza kukusaidia hata kukupa dollar moja sio rahisi.
Hata mzazi wako hakusaidii wala kukukopesha, wale watu wana maisha ya ajabu sana
 
Naona wengine mmeshaanza kulinganisha na askari wa hapa nchini kwetu na kuwaponda, nawasihi tu msikariri hata huko Marekani wapo askari wasio na utu hasa pale unapokuwa ni Mweusi, askari mwingine hapo angempiga shaba na kusema alikiwa ana "resist arrest"
 
View attachment 501798
Helena Raia wa Marekani

Kuna mtu alienda kumshitaki kituo cha polisi kua ameiba katika super market

Askari polisi alipo kwenda kumkamata alienda nae mpaka katika sehemu ya tukio baada ya kufika Polisi alimuuliza dada helena umeiba nini?

Helena"nime iba yai 1 mwanangu alikua na njaa sana"

Yule Askari akalipa hela na kumuongezea mayai mengine a vyakula.
Dada helena alimwambia Polisi kwanini unafanya hivi ?

Polisi alimjibu kua wakati mwengine utu ni bora zaidi kuliko kazi
Helena alitokwa na machozi sana

Mashaa Allah huruma ndio muhimu katika jamii
Kwa hawa polisi wetu, mmmmh.. Sijui lakini, ya MUNGU mengi.
 
Swali langu kwa mleta uzi,unadhani mtu mwenye huruma na utu wa dizaini hyo anaweza photograph tukio zima kama ilivyofanyika hapo juu,je nani aliwapiga hizi picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom