Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,802
- 34,191
Helena Raia wa Marekani
Kuna mtu alienda kumshitaki kituo cha polisi kua ameiba katika super market
Askari polisi alipo kwenda kumkamata alienda nae mpaka katika sehemu ya tukio baada ya kufika Polisi alimuuliza dada helena umeiba nini?
Helena"nime iba yai 1 mwanangu alikua na njaa sana"
Yule Askari akalipa hela na kumuongezea mayai mengine na vyakula.
Dada helena alimwambia Polisi kwanini unafanya hivi ?
Polisi alimjibu kua wakati mwengine utu ni bora zaidi kuliko kazi
Helena alitokwa na machozi sana
Mashaa Allah huruma ndio muhimu katika jamii