Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

Utafikiwa tu, hii operesheni haimuachi mtu. Nami nilikuwa natumia vizuri tu mpala jana nilipokutana na mauzauza.]wanaanza taratibu wanakutumia ujumbe kila siku kwamba unatumia watsap isiyo sahihi tafadhali badilisha wanakupa week mbili then wana-log ou wenyewe utajua hujui,[
 
whatsap badala ya fungia fungia, wangeamua kupiga hela, kwamba kuwe na version 2, hii ya kawaida na premium, premium iwe na features zote kama za gb wasap na iwe ni ya kulipia, ila naona badala ya kunufaika na ubunifu wa wazee wa gb wao wanaleta wivu na kupiga ban... kama ni kitu watu wanapenda basi walipie kidogo iwe win win situation
Unafikirii wao wanashindwa kuweka izo feature kwenye official watsap ? jiulize kwanini hawaweki
 
unafikirii wao wanashindwa kuweka izo feature kwenye official watsap ? jiulize kwanini hawaweki
sababu ni wamiliki wawili tofauti! kila mtu ana haki zake huwezi kucopy alichofanya mwenzako may be wafanye wauziane/wafanye partnership
 
Mimi walinifungia (permanent ban) nilijaribu kuwaomba kwa ku appeal mara kadhaaa wamenifungulia jana baada ya miezi 3 ,nilikuwa tayari nimeshabadilisha number ya whatspp na kwa sasa natumia whatspp OG kwa number nyingine huku ile main number natumia whatspp official. Cha muhimu ni kutumia WhatsApp moods ambayo ina strong anti ban na ambayo ipo updated hapa unaweza uka survive.
 
WhatsApp mods ambayo ina strong ant ban ipi unayoijua? Share nami niidownloan maana hii og WhatsApp michosho
 
Mimi walinifungia (permanent ban) nilijaribu kuwaomba kwa ku appeal mara kadhaaa wamenifungulia jana baada ya miezi 3 ,nilikuwa tayari nimeshabadilisha number ya whatspp na kwa sasa natumia whatspp OG kwa number nyingine huku ile main number natumia whatspp official. Cha muhimu ni kutumia WhatsApp moods ambayo ina strong anti ban na ambayo ipo updated hapa unaweza uka survive.
ndio kuz mimi mark wakishaanza mambo yao jamaaa wanakuwa washakutumia update gb whatsaap yako.
 
tupe mbinu
Hizi gb inategemea umetoa kwny source gani kuna za website fulani ukipata zinazingua na kuna zingine ukipata ziko fresh.....inategemea pia na simu unayotumia, nikiweka gb kwenye sony inapigwa ban fasta ila kwny samsung sijala ban naona pia inategemea na security ya simu
 
whatsap badala ya fungia fungia, wangeamua kupiga hela, kwamba kuwe na version 2, hii ya kawaida na premium, premium iwe na features zote kama za gb wasap na iwe ni ya kulipia, ila naona badala ya kunufaika na ubunifu wa wazee wa gb wao wanaleta wivu na kupiga ban... kama ni kitu watu wanapenda basi walipie kidogo iwe win win situation
Mbongo alipie kitu. Hao GB Whatsapp wenyewe wakisema app zao kuanzia leo ulipie, utaona wote wanarudi kwenye official app kiroho safi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom