Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Habari JF, Nimetumia Watsap GB kwa miaka Mitano 5 sasa lakini juzi wameni-block Aisee sitoweza kupata access za GB watsap milele na milele. Now niko Official whatsapp ila sijaizoea kabisa maana haina acces za privacy kama:

-Ant delete message
-Anti delete status
-Disable forwarded
-Show blue tick after reply
-status download
-Hide status view
na vingine vingine....
 

Attachments

  • Screenshot_20240216-115606.png
    Screenshot_20240216-115606.png
    160.9 KB · Views: 18
Kwangu ilikuwa inaleta hivi kila baada ya kuinstall version za GB watsup, ikabidi nirudi official watsup. Je, ulipitia hali kama hii na ukapata solution?
 

Attachments

  • Screenshot_20240216-115606.png
    Screenshot_20240216-115606.png
    160.9 KB · Views: 18
Kwangu ilikuwa inaleta hivi kila baada ya kuinstall version za GB watsup, ikabidi nirudi official watsup. Je, ulipitia hali kama hii na ukapata solution?
hata Mm ni ivyo ivyo! Solution kuchange namba nyingine mpya inakubali ila ile ya zamani inakataa wameiblock haitopata access za GB watsap tena
 
kwangu inaleta ivyo ivyo, Wameblock number ila ukitumia namba nyingine inakubali
 
whatsap badala ya fungia fungia, wangeamua kupiga hela, kwamba kuwe na version 2, hii ya kawaida na premium, premium iwe na features zote kama za gb wasap na iwe ni ya kulipia, ila naona badala ya kunufaika na ubunifu wa wazee wa gb wao wanaleta wivu na kupiga ban... kama ni kitu watu wanapenda basi walipie kidogo iwe win win situation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom