Kuna aliewahi fanya rebuild engine hii?

Kuna aliewahi fanya rebuild engine hii?

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2,428
Reaction score
2,964
Msaada
Kuna mwana jf yoyote aliewahi fanya engine rebuild ya 2.7L tdv6 ilioko kwa baadhi ya discovery na range sport za nyuma kidogo around 2004 - 2007

Kuna matatizo kama crankshaft failure

Gharama zake zikoje kwa hapa bongo kufix versus kununua engine nyingine na air suspension ku fail

Naomba msaada hata na garage wanazoweza fix matatizo makubwa hivo
 
Me nashauri ufanye swap tu, kufanya rebuild risk unaweza fix kwa gharna hafu tatizo lisipone.

Jaribu kununua used ila wekeana masharti (warranty) angalau ya 6 months.

Kuhusu air suspension failure shida nini? Compressor? Air strunts zimepasuka au zimevuja? Au valve zimefeli?
 
ZinAvuja compressor nayo ni tatizo naambiwa 4m kwenye mneso tu
 
Habari naomba kufahamu gharama za kufanya service nozzle kwenye gari.
 
Msaada
Kuna mwana jf yoyote aliewahi fanya engine rebuild ya 2.7L tdv6 ilioko kwa baadhi ya discovery na range sport za nyuma kidogo around 2004 - 2007

Kuna matatizo kama crankshaft failure

Gharama zake zikoje kwa hapa bongo kufix versus kununua engine nyingine na air suspension ku fail

Naomba msaada hata na garage wanazoweza fix matatizo makubwa hivo
Binafsi nime build engine za cadillac mwenyewe, ni kuulize tuu, sababu ya kufanye rebuild ni nini?

Ku swap ni rahisi, ila ni pata potea, maana hujui historia ya engine.

Ku rebuild ni gharama ila kama uwezo upo na ni mechanic inclined au una fundi mzuri, hiyo ni njia bora zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom