Kuna ajali halafu Kuna ajali za aibu

Kuna ajali halafu Kuna ajali za aibu

Ajali ni ajali tu, iwe ya bodaboda, lori, treni, ndege au kuvujika kitanda, kuanguka zote ajali, uwe umetoka kwa hawara, wazazi, kazini, kwa mzee wa upako, kwa mufti zuberi, mganga wa kienyeji au popote pale panapokupa iwe ni rizki au furaha yako, nani mwingine inamuhusu?

Maisha yanaendelea tu
imenikumbusha eti
kifo ni kifo tu
ilisikika sauti ikisema
 
Yeye anaogopa binadamu, kwanini asingemuogopa Mungu ambaye angemtupa kuzimu/ Jehanamu,kwa kufa na dhambi zake?!🤔
Mungu haonekani na hana uhakika km anamuona…!!
Binadamu wanaonekana na wanahukumu, fikiria km mumewe angejua nini kingetokea?? 🤣
 
Ni kweli ila familia yako utakuwa umeifedhehesha kuona binti yao ulikufa kwasababu ya kufata mkia tena mkoa..!! 😹😹😹
hayo ya familia yanakuw ahayakuhusu tena!
 
hayo ya familia yanakuw ahayakuhusu tena!
Yanakuhusu vizuri, si umeacha watoto huku duniani na wazazi..!!

Hujawahi kuona familia wanalipishwa pesa kwa makosa ya marehemu??
Hata wazazi wako wataonekana wa hovyo na watoto wako wataishi kwa masimango, binti yako akiolewa mume ataitumia tabia yako km fimbo ya kumchapia..!!
 
dah, umeongea kwa uchungu sana hadi basi.

inabidi tuangalie mienendo yetu kama ni hivyo, hii don't care attitude tuiache
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Mungu alimuacha awe ushuhuda
 
Back
Top Bottom