Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,119
Usipotumia akili, ukatumia utashi , unamalizwa mapema kweupeeeeHuko kanisani sijui wanawaloga?
Ninawasiwasi na hao wachungaji wa makanisa binafsi na kilokole.
Kweli imani yoyote ukiifata unakuwa mjinga.
Kila jambo walifanye kwa kiasi
Haha haha milokole yote ya makanisa ya mapoyoyo na gilesi nyie ni rubbish creaturesYani kwa ujinga wa li mke lako ndo uusiliibe ukristo na ulokole? We gilesi ni zaidi ya mpumbavu faken
Naanzaje kwa mfano? Hapa natafuta replacementKataa ndoa
Hujakoma tu??? Shauri yako!!!Naanzaje kwa mfano? Hapa natafuta replacement
mkuu hapo kwenye matako yake yalishawahi kununua unit ya umeme aisee tuliza kichwa nduguSimsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima.
Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Mimi kama shemasi nalopoka mke wako anatuletea Malimbuko, bila kusahau, nadhiri yake anakuja kutengua aliyoweka baada y kuomba auze kuku wote na akafanikiwa, na analeta shukrani moyo wake tu umependa na lazma atuletee Zaka hii ni lazima ..na Bado hujasemaHaha haha milokole yote ya makanisa ya mapoyoyo na gilesi nyie ni rubbish creatures
Nakubaliana na wewe kwamba kuna ukristo ambao ni ushetani kwa uthibitisho. Mwenza wangu anakwenda kanisani kila siku kuanzia Jumamosi mpaka Ijumaa, mafunzo anayokwenda kuyapata huko anayajua yeye lakini tangu ameanza hizo mambo kazidi kuwa kama mwehu. Muda wote na notebooks anasoma hayo wanayofundishwa huko kiasi hadi inafikia stage mtoto anataka kujisaidia anadiriki kuniambia nimsaidie kumpeleka kujisaidia na nikisema nenda kampeleke basi ni ugomvi na anafika kumwambia mtoto jisaidie hapo hapo nikimaliza kazi zangu nitazoa. Heshima imeenda yani anaweza kuniambia chochote anachojiskia bila chembe ya aibu. Kwenda huko kanisani haitaji ruhusa kutoka kwangu ila anajiamulia mwenyewe. Kinachonifanya niamini ni huko kanisani, kuna mmama jirani wanasali kanisa moja, kila akirudi atakaa nae waongee yaliyotokea huko. Yani maandamano ya kanisa yeye humtoi lazima awepo kiufupi ni kero. Kama umempata mchumba wako kanisani na mnapendana basi endelea nae lakini kama upo single basi sishauri uwe na mwanamke anaejifanya anaipenda dini kupita kiasi. Utakuja kujuta baadae mana hawa ni watu wanaoongoza kutokujali mahusiano yao kwa kufatilia dini. Haoni hatari kukukosea heshima eti kwa sababu anadefend mchungaji au neno la mchungajiSimsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima.
Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utajufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Gilesi....tentemente..Yani kwa ujinga wa li mke lako ndo uusiliibe ukristo na ulokole? We gilesi ni zaidi ya mpumbavu faken
Hivi kuna mchawi anajitaja?!!!Huko kanisani sijui wanawaloga?
Ninawasiwasi na hao wachungaji wa makanisa binafsi na kilokole.
Kweli imani yoyote ukiifata unakuwa mjinga.
Kila jambo walifanye kwa kiasi