Kuna aina fulani ya wanamke ukiishi nao umejihukumu mwenyewe kifo

Wanawake generally ni viumbe wema sana.

Jitahidi uwaelewe wanawake wala hutakuja kuwalaumu humu.

Vijana mnapaswa mrudishwe shule kufundishwa kuhusu wanawake.

Nashukuru niliwaelewa wanawake mapema sana na sitakaa niwalaumu hata siku moja, wanawake ni viumbe wema sana. Wanawake ni moja ya viumbe wa baraka sana kuwepo Duniani.

Wanawake wote Mungu awabariki sana. Poleni sana kwa changamoto zote mnazopitia kwenye maisha, mahusiano nk.
Nani aliyewahi waelewa akabaki Hai??? Ukiona umeanza kuwaelewa ujue kifo kipo karibu yako
 
KATAA NDOA
KIJANA USIOE
AFYA YAKO YA AKILI NI MUHIMU KULIKO HIYO NDOA
 
Back
Top Bottom