Kuna aina fulani ya wanamke ukiishi nao umejihukumu mwenyewe kifo

Afadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu' kabla ya ndoa Ila baada ya ndoa hubadili kila kitu.

Baadhi ya wanawake ni watendaji wenye viituko - kila kitu wanataka kiende watakavyo wao . Hawana hisia ya huruma na hawapo tayali kubadilika. Wao ni wenye hisia kali, wenye hasira kali na wanaopenda kuwaka kwa hasira kamilifu.

Wanaweza kulipuka kwa usumbufu mdogo tu. Hakuna kitu kizuri cha kutosha kwao. Wao hujiona ni wa muhimu sana kuliko wanaume. Wanahoji kila kitu. Hawamwamini kamwe mwanaume. Wanamtilia shaka mwanaume kwa kila kitu.

Wanapenda kujua kila kitu hata kama ni jambo dogo. Hata ufanye nini au uvumilie vipi , mwanaume huwezi kamwe kukidhi mitazamo yao ya kukusumbua.

Daima wanapenda kuwa na neno la mwisho. Na kamwe hawakubali kuwa wamekosea.

Fedha siku zote ni idara yao. Wanaamua jinsi pesa itakavyotumika.

Mwanaume mwenzangu (hasa wewe ambaye hujaoa) usije kuishi na mwanamke kituko mwenye kudhibiti kila kitu nakushauri usiishi na mwanamke mkorofi, utakufa kabla ya muda wako kufika.

Ni heri ukae kwenye kona ya paa la nyumba yako (Mithali 25:24) na umngoje Masihi.

Ubarikiwe.
ILA TULIAMBIWA TUISH NAO KWA AKILI CHA MSINGI JIPE MOYO USIKATE TAMAA WALA USIZIRE KATAFUTE AKILI HATA ZA KUKOPA MPIEANI
 
Back
Top Bottom