Kumwekea passwod mke/mpenzi

Vidar

Member
Dec 2, 2012
43
5
Kumwekea passwod mke/mpenz ndosuruhisho la usarit au niujinga wa kutokutambua hisia za m2.........?
 

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,397
Mkuu, weka iyo password ila umefikiria siku ukija kuisahau itakuwaje?:nimekataa
 

Mwanawalwa

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,014
297
lengo la kuweka pswd ni nini? asiwe na access ni information zipi za kwako . everything has a reason sio?
 

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
954
Inategemea na lengo la password. Kwa mfano mimi sim zangu zote zinapassword na yeye anazifahamu na hata baadhi ya marafiki zangu wanazifahamu na lengo kubwa ni pindi ninapoisahau mahali mtu mwingine asiitumie. Maana kuna baadhi ya watu wakikuta sim ya mtu wanaanza kusearch na hata kuhamisha salio lako
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,877
29,707
Mimi simu zangu zote zinapassword
ila anazifahamu ni mwaka wake wa kuzaliwa na wakwangu so si tatizo
na lengo la kuweka hivyo ni privates mtu mwingine ashike simu yangu na kupekua
kuna siku nilisahau simu ofisini mkaka mmoja akanihifadia kesho yake bila aibu ananiambia ''yani nilikuwa na hamu ya kupekua kujua siri zako ila paswword imeniangusha shika simu yako''
nikacheka nikamuacha
so password si tatizo ila je unaiweka kwa ajili gani?na mwandani wako anaijua au haijui?nafikiri hapo ndo tatizo lilipo
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
66,046
89,336
Unazeeka Apsirin...lugha ya kisasa hiyo, ukiona imekupita ujue mileage yako ina rab'sha kidogo!

Kumwekea passwod mke/mpenz ndosuruhisho la usarit au niujinga wa kutokutambua hisia za m2.........?
Mkuu yaweza kuwa nimezeeka lakini hakyanani tena hiyo makitu nilo-bold hayana uhusiano wowote na vilugha vya dotcom.... mambo ya dotcom ni kama hayo ya blue hapo.

Japo nimekula chumvi ya kutosha bado niko niko kwanza!!
 

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,135
Kumwekea passwod mke/mpenz ndosuruhisho la usarit au niujinga wa kutokutambua hisia za m2.........?

kwa upande wa mke/mume ni makubalianao tu kama tumekubalia kila mtu na simu yake hakuna kugusa ya mwingine nikiweka password itakuuma nini??
kama mimi nimeweka kwaajili wezi na watoto, watoto wanapenda kuchezea game sasa gafla umkiamka unachukua sim chaji haina na unaondoka, wezi wakiiba wasipate ulaini wa kuitumia
 

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,839
6,679
Samahani naomba niulize,
Hivi hiyo passWord ukiiweka itakuwa inatumika kwa mlango wa kawaida tu or hata mlango wa uani?
Nataka kujua tu tafadhali:glasses-nerdy:
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,356
66,303
Unaweza weka password hata 200, na bado watu wakarudi OLD DAYS ni mwendo wa barua na S.L.P
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom