Kumwandalia mme wako kondom anaposafiri!

Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!

inaelekea wanawake wa huko burundi hawajiamini,if you decide to be a door mat,people will step on you!...i cant see myself doing this,ni kama umempa fursa/uhalali wa kwenda kufanya ngono huko nje, kama ni magonjwa usidhanie ukimpakia condom ndio guarantee atazitumia...
 
Kondomu hutumika pale woga unapo kuingia!!Ukiwa jasiri unaweza kuwa nazo lakini ukakosa muda wakwenda kwenye kabati ulipoweka suruali yako kuzichukua na wengi tu mbona wana jilipua!!!!kondomu utumika pale macho yako yanakuwa nawasiwasi yakiisha alalisha tu kondomu huwa ni uchafu nakuleta msemo huu "Utakulaje pipi katika naylon yake??"
 
unaweza vukamfungia,na yeye akanunua zake,hizo ulizomfungia akarudi nazo.ki ukweli ndoa bila uaminifu jamani si ndoa.ila in reality kila kitu utaambiwa uvumilie tu

mmh mambo ya ndoa magumu, u should always leave a room for dissapointment
 
Code:
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms  wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na  kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha  tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!

Ni kweli kuna msemo usemao ya kuwa dawa ya moto ni moto lakini ukweli ni kuwa dawa ya ngono zembe na ngono janjaruka ni kusoma Neno la Mwenyezi Mungu kila siku hata safarini................kondoms zaweza kuepusha ukimwi lakini what about a curse of consumption generated by lack of restraint................let us not be consumed by each other in search of instant sexual gratifications...........remember one journey generates another..........and another........... culminating into the yoke of iron being placed on your fragile neck until you are completely destroyed........is it worthy it? surely, it isn't.........
 
Code:
what next? watakata vinanii vyao wawape wanaume wao wasafiri navyo....:dance:

Hiyo sasa itakuwa Babu "K".............................................
 
Code:
inaelekea  wanawake wa huko burundi hawajiamini,if you decide to be a door  mat,people will step on you!...i cant see myself doing this,ni kama  umempa fursa/uhalali wa kwenda kufanya ngono huko nje,[COLOR=red] kama ni magonjwa  usidhanie ukimpakia condom ndio guarantee atazitumia..[/COLOR].

azitumie asizitumie bado hakuna la kufanya hapo.................................na hata huyo anayebaki kwa mnyumba.....who knows what is going on in her pretty skull............
 
Yule anayebaki ku nyumba hajamweka wazi mumewe au mumewe hajamwachia lady pepeta, je mke akisafiri nae apewe?? mume anaweza fanya hivyo??
 
mwandaaji wa condom lazima atakasirika mume akirudi home na condom pungufu!! .. hiyo yote inakuwa ni kum-test mume na pia kumfikishia ujumbe kuwa huko uendako kuwa makini!!.
si lazima uambiwe na maneno!! vitendo pia.. inabidi utafsiri kiundani badala ya juu juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom