Kumwandalia mme wako kondom anaposafiri!

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!
 
Hi kweli kaaali.... Mume wangu mimi nimpakilie condom??? Hio safari tunaenda woote???..... Nitarudi....
 
ahahahaa,,,kama hamuendi wote si mwenzio atakuja kukupatia virus zake alizozipata huko hahahah yabidi umfungashie tuu na hiyo kitu akiba hahah lool,,

NR naelewa kua akienda huko hasa safari ndefu ni lazima hio kitu atapata maana anapenda... BUT yaani nimhalalishie kua haya baba condom hizi hapa katumie huko safari, wanaume wetu wa kibongo si next time anamleta mwanamke nyumbani kwako na kukuomba ulale na watoto maana yeye ana mgeni... Dhubutu NR, nakwambia simpi hizo condom...
 
wacha tu, ni kama vie namtayarishia chakula cha safari...mxsii wanapata wanawake nao hao.

Umeona eeeh! Unafikiri basi wao wanaelewa hilo... wanaona sawa ... hata chakula ukila ovyo njiani wakati wa safari waweza rudi home unaendesha mana mara nyingi ni vichafu kila mtu anagusa na waandaji wenyewe wamekaa kibiashara.... Usafi saa ngapi....
 
Hahahah nyamayao katika hili nimekupenda zaidi loh...................eti unaupamba udhaifu wake na kumpa signal kabisa kuwa hata ukimfumania utamwelewa kwa kuwa tayari ulikwisha mwelewa kabla duh............zamani I had a different perspective on this but not now..its a BIG NO. KWa sababu hata ukimfungashia kwa nia ya kumkinga una uhakika gani anazitumia?? na ni nani alisema ni kinga 100% why put yourself at risk??
 
MJ1...hapo unakuta ucku kucha umejituma kumpa burudani ili asafiri akiwa mwepec, safari yenyewe ukute ya 1 week bado unamfungashia condom, kuendekezana gani huko? na kama ulivyosema uan hakika gani kama atazitumia?
 
Umeona eeeh! Unafikiri basi wao wanaelewa hilo... wanaona sawa ... hata chakula ukila ovyo njiani wakati wa safari waweza rudi home unaendesha mana mara nyingi ni vichafu kila mtu anagusa na waandaji wenyewe wamekaa kibiashara.... Usafi saa ngapi....

Asha, we mkali....!
 
Hivi kwanza kwa nini nimpakie mimi? ina maana yeye hajipendi mpaka akumbushwe yote hayo?

Hapo sasa BB..... kwanza kwani lazima nijue??? Ndo yale ya ile post mumeo kukili alilala na vimada viwili hata hujamuuliza.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom