Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Yaap!.Mimi si mkulima, ila katika hali ya kawaida jua likisha fikia saa5 ardhi inanza kua na joto, kadri jua linavyo ongezeka na joto lina ngezeka kwenye ardhi. Unapo mwagia maji kuna mvuke wenye joto Kali utatokea ardhin kwakua unaipoza ardhi ghafla. Hii itasababisha mizizi ijeruhiwe na na joto hilo na kwakua ndio itakua kawaida yako inamaa kilasiku utakua una ujeruhi mmea mwishoe utadhoofika.