the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,894
Umejibu kisayansi sio hao wanasema mizizi sijui joto kali linaua tishu hizo ni nadharia hisishi
Kweli shule wengi tunakariri tu tumefundishwa photosynthesis hii ni sayansi ya elimu ya msingi yumkini aliyeuliza swali ana stashahada au shahada ila anaona kama kuruani vile
Na kilimo ni science kosa dogo una reduce mavuno tunabaki tunashangaa mbona mbegu haizalishi kama inavyitakiwa. Unaweza pia tazama msimu wa mvua mazao huwa mengi ila,kwenye jua mazao huwa machache miongoni mwa sababu ni maji