Kumvutia hisia mwanamke mwingine

Mleta uzi na Mnaochangia huu uzi asubuhi hii hakika maisha mshayapatia.
๐ŸšถMkiongozwa na Kulwa.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tuko pamoja kati ya sisi wachache tuliobahatika kupatia maisha

Kumbuka na wewe umechangia
 
Uje unipe somo la hayo manjonjo manake sie wengine tunajua kuikatikia tu

Nahitaji sana sana sanaaaa ufafanuzi wa mguu begani ๐Ÿ˜‚
Ya mguu begani ni tamuu balaa๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Žwozaaahh
 
Uje unipe somo la hayo manjonjo manake sie wengine tunajua kuikatikia tu

Nahitaji sana sana sanaaaa ufafanuzi wa mguu begani ๐Ÿ˜‚
Kwamba ni huelewi muda gani mguu unasokotewa begani au unafanya kusudi ๐Ÿ˜†
 
Ni mihemko tu hakuna lolote
 
Hii kawaidaa mbonaaa...!! Kuvutia hisia kwingne muhimu huwezi mkula mtu mwaka mzimaa bila kukinaii... So cha muhimu utamu bado upo ni kuvutia hisia tuu
Sio kweli mwanamke wangu tuna miaka miwili na sijawahi kuvuta hisia kwingine ili nifike.
 
Tabu zote za nini hamia CHAPUTA
 
Sio kweli mwanamke wangu tuna miaka miwili na sijawahi kuvuta hisia kwingine ili nifike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa wew ndo huwa unataka mechi...!! Kuja wanawake wapo na genye mzee yani umekinai lakini wapiii...sasa hakuna namna
 
Hii kawaidaa mbonaaa...!! Kuvutia hisia kwingne muhimu huwezi mkula mtu mwaka mzimaa bila kukinaii... So cha muhimu utamu bado upo ni kuvutia hisia tuu
Mbinu za kibaharia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii kawaidaa mbonaaa...!! Kuvutia hisia kwingne muhimu huwezi mkula mtu mwaka mzimaa bila kukinaii... So cha muhimu utamu bado upo ni kuvutia hisia tuu
Nilimsikia yule tabibu wa miti shamba na dawa mbadala Mwaka akidai kwamba kwa mwanaume yoyote hata mwanamke awe mzuri kiasi ndani ya miezi mitatu tayari mwanaume amemkinai na kumuona wa kawaida tuu.
 
Kukinai lazimaa mzeee ndo maana unakuta pisi kali lakini jamaa anaizinguaa...
 
Uje unipe somo la hayo manjonjo manake sie wengine tunajua kuikatikia tu

Nahitaji sana sana sanaaaa ufafanuzi wa mguu begani [emoji23]

[emoji28][emoji28][emoji23][emoji28]fanya unitafte nikupe ufafanuzi aiseeee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ