Kumuonesha mwanamke wa kiafrika unampenda ni kosa kubwa sana

Acha mama nawajua fureshi mtu yeyote akijua anapendwa kifuatacho ni maringo na nyodo kwa mpendaji badala akulipe kwa wema ndo kwanza unalizwa tu
 
Kweli kabisa swala hili ni kwa pande zote sema wanaume wengi hupenda kujivika umalaika.
 
A man will never get a woman he wants but he can cultivate the woman he has/wants to meet his needs/dreams/visions.

Be positive and take time to learn and understand the basic needs of a man and a woman in a relationship.
 
Kila mara huwa nawawashia moto watu wa ulaya na marekani kwa kuichukulia Africa kama ni Nchi moja. Hali kadhalika wazungu nao wapo tofauti sana, kutokana na mila na desturi za nchi zao husika, kama vile tulivyo waafrica, tunafanana lakini tamaduni tofauti. Kwa experience yangu inategemea, kama mwanamke amekupenda kwa dhati,basi haijali hata awe mgagagigikoko, atakupenda, hatachepuka na mtasaidiana kwenye kheri na shari (ila wako wachache kweli wa dizaini hii). Ni mtazamo wangu tu.
 
Sasa si uendelee nae huyo mzungu?
 
Usemayo ni kweli kabisa. Akiona umeanza kupunguza mawasiliano, anaanza kukusumbua na malalamiko juu. Wa hivyo unasepa km ndege ya malaysia
 
Kumbe we ndo umejua leo! Hawa watu unavyozidi kuwapa attention ndo wanakuwa wanyama. Ni kawaida wao kukuta wanasema wanahitaji mwanamme anayejali ila hiyo fursa inapotokea na wakawa wameizoea husahau kabisa. Sasa hapo huanza madai mengine ambayo ni ya ajabu. La kufanya usiegemee sana kwa hawa viumbe.
 
Mie na mwajuma wangu huku kiembe mbuz hatuna shida akinuna mie nala kushea cost muhim mbona utam twapata wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…