Kumuonesha mwanamke wa kiafrika unampenda ni kosa kubwa sana

Wanawake wote wako sawa, haijalishi mzungu, msomi, mwarabu, asiesoma nk, wote akili yao iko sawa ila hua wanatofautiana kutokana na jamii waliokulia, makuzi yanaweza kuwatofautisha wanawake.

Mimi wanawake walinisumbua awali nilipokua sijawajua vizuri, baada ya kuwajua na kuwafaham hawajawahi kunisumbua tena. Nashukuru sijui hii akili ya kuwajua wanawake niliitoa wapi, naishi nao kwa amani sana.
Mkuu nipe hiyo akili uwanja umeinama. Huku
 
Mbona hata wanaume wa kiafrica wapo wenye tabia hizo

Komaa na wazungu basi
Yaaan alichokizungumza hapa ni vise versa, hii ni tabia ya wanaume!

Mwanaume ukilogwa ukamuonesha unampenda, utajuta!...ni utanyanyaswa, dharau, kiburi, na huwa anaamini huna pa kwenda! Nina ushahidi wa ndugu zangu, marafiki zangu waliofanyiwa hivo na wanaume zao!
 
Mi huwa najiulizaga, hivi hawa wanawake zetu wamezaliwa na akili za wapi!!! Sawa kuna wazuri, hiyo haina shida, lkn mpk leo najiuliza kizazi hiki cha karibuni kuanzia 1980 kuja huku 90's upande wa dada zetu naona kuna akili za ajabu sijui zinaibukia wapi?
Sidhani shida ni umaskini, nadhani akili ndiyo shida, kutatua hilo ni gumu kwa sababu hiyo akili huwa wanazitoa wapi???!!! Nikijibiwa hili, nitasimulia hadithi isiyokuwa na mwisho
 
Inategemeana na unaekutana nae
Pia kwa wazungu kucheat kwao ni jambo la kawaida na hawaamishi feelings
Kwa wabongo akikucheat ndo jua byebye na midharau mingi kwa mme au mpenziwe
Awa
Af kumbuka ukiwa na mzungu ataona ni hogo na atafrahia kulala na wewe kuliko yur opponents(wazungu)
Uku ukiwa na Muafrica we ni kibamia mwingine kulinganisha na opponents wenzako(blacks)
 
Back
Top Bottom