Kumuoa binti msomi

Atakae kuoa wewe ana hasara sana.
 
Of course wanawake kabla hawajapigwa zile mimba za kijinga huwa wanakuwa wana mawazo ya ramli sana. Wakishapigwa mimba ndio akili zinaanza kuwa active..... Wanakuwa wanafikiria sawa.
Hasa wadada wa chuo wakiwa chuo wanadanganywa na wavulana wajanja ila kosa waje mtaani maringo Kama yote...

"We utanipeleka wapi mtu mwenyewe huna hata elimu"
 
Mtoa mada kamanisha jinsia me, lakini elimu katka mahusiano au ndoa si chochote Cha msingi mridhiane, mwanamke hata akiwa msomi mkiridhiana mtaishi vzr tu...hebu acheni kuwaogopa wasomi nao wanahisia na wanahitaji kupendwa pia.
 
Wasomi nao pia waache kuringia elimu mapenzi ni hisia za kweli za MTU mmoja kwa mwenzake bila kujali kiwango cha elimu hali ya maisha na utamaduni husika
 
Wasomi nao pia waache kuringia elimu mapenzi ni hisia za kweli za MTU mmoja kwa mwenzake bila kujali kiwango cha elimu hali ya maisha na utamaduni husika
Umenena vema mkuu
 
Pesa ndo hudumisha mapenz kama hazipo lazima yayumbe na kupewa maneno ya kashfa,
Wazee wa zamani walipendana kwa moyo mmoja na kutafuta pesa pamoja wakifurahia mapenzi Leo hii imekuwa tofauti bila pesa no long lasting relationship
 
Wazee wa zamani walipendana kwa moyo mmoja na kutafuta pesa pamoja wakifurahia mapenzi Leo hii imekuwa tofauti bila pesa no long lasting relationship

Saivi maisha yamebadilika sana, mtapendana vizuri akiwa under 20, akivuka apo huna pesa umeisha
 
Yeah naelewa lakini dada hawa wasomi hupenda wavulana wasomi pia....ni ngumu kupata msichana aliye na elimu yake kaolewa na jamaa wa maskani asiye na elimu
Sasa kijana wa maskani unaoa ili iweje?
 
Wasomi nao pia waache kuringia elimu mapenzi ni hisia za kweli za MTU mmoja kwa mwenzake bila kujali kiwango cha elimu hali ya maisha na utamaduni husika
Tafuta unaefanana nae mkuu,uta enjoy na yeye ata enjoy....
 
Kama hujasoma tafuta ambaye hajasoma au ana shule kidogo and vice versa,kusema ukweli mapenzi yananoga mkiwa na ile kuongea lugha moja sasa standard 7 na angalau diploma story zinaboa in a long run,hata mkifanya argument kuna mmoja atahisi anadharauliwa
 
Kwani aliyesoma 'k' yake inakuwa tamu kuliko ya yule ambaye hajasoma?
Kama 'k' zao wote utamu ni sawa nitaoa ambaye elimu yake ni ya kiwango cha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…