udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi
jamani mwenzenu nimefurahishwa na mtazamo huu wa kigogo.