Kumuelewa mwanamke

Kumuelewa mwanamke

kwa mfano, kwanini kwenye kus.x huwa mnalia? Lakini mkiulizwa mnasema mlikuwa mnapata raha, mnakunja nyayo za miguu etc, why? :clap2:

mbona wanume pia wanalia? tena na kuexxagrate juu "God am coming....where are u going?
hivo na wao wako complex
 
Kama umemuona mwanamke ni complex vile vile ww mwanaume ni complex, ukitaka utamuelewa tu na usipotaka hataeleweka kwako sbb ndivyo ulivyoweka hivyo akilin mwako, badilika vile unavyofikiri ndivyo utakavyobadilika usemi wako,km huoni mazuri maishan mwako jua sikuzote mabaya yatakuwa yanakutokea tu na hata mazuri yakija utaona ni mabaya tu.
 
mbona wanume pia wanalia? tena na kuexxagrate juu "God am coming....where are u going?hivo na wao wako complex
Mwenzangu tena wao ndo wanaongoza kwa kulia na kuropoka maneno mengi na kutoa ahad ambazo hawawez hata kuzitekeleza,dakika hizo ukimwambia hata mtukane baba yako atafanya.....hapo ndipo ujanja wote unapomuishia.Lol
 
mtunzi wa huo msemo lazima ni mwanaume....
unafikiri wanaume wanaeleweka?
 
Mwenzangu tena wao ndo wanaongoza kwa kulia na kuropoka maneno mengi na kutoa ahad ambazo hawawez hata kuzitekeleza,dakika hizo ukimwambia hata mtukane baba yako atafanya.....hapo ndipo ujanja wote unapomuishia.Lol

Chezea utamu wa K wewe?
 
Sio wewe tu mbwange, hiyo ni universal issue tangu miaka mingi iliyopita. Ni shetani tu ndio anamuelewa mwanamke

"The great question....which I have not been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'What does a woman want'"


Sigmund Freud, 1856 - 1929
Australian neurologist and psychoanalyst
​

Umeona babu?
 
Mwenzangu tena wao ndo wanaongoza kwa kulia na kuropoka maneno mengi na kutoa ahad ambazo hawawez hata kuzitekeleza,dakika hizo ukimwambia hata mtukane baba yako atafanya.....hapo ndipo ujanja wote unapomuishia.Lol
Jamani kama mumeligunduwa hilo msiwe mnatusemesha hovyo, itakuwa hamtutendei haki... teh teh...
 
Back
Top Bottom