Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Awap awo wanaowaita kina yesu ni stor tu hawajawahi kuwako, ther are imaginary characters made to brainwashe stupid people through religions...Mungu yupo kwel ila sio uyo anaetaka tumsujud kwa kuwaamini kina yesu,,,,matendo yako ndio yanakupereka mbnguni tuu. A sio takataka ziitwazo dni
 
Hivi huoni shida ilipo kwa kuonesha hiyo contradiction na kutoa jibu la kwamba hakuna Mungu? Nadhani kuna haja kuanza kuulizana contradiction ni nini.
 
Unajuaje Mungu yupo kweli na ni yupi huyo?
 
Hivi huoni shida ilipo kwa kuonesha hiyo contradiction na kutoa jibu la kwamba hakuna Mungu? Nadhani kuna haja kuanza kuulizana contradiction ni nini.
Contradiction ni hali ya mambo mawili yanayopingana kusemwa kuwa yanatokea pamoja kwa namna ambayo haiwezekani.

Kwa mfano.

Katika Euclidean geometry, kuna duara. Duara hiki hakina pembe.

Pia kuna pembetatu. Pembe tatu ina pembe tatu.

Tukisema kuna pembetatu ambayo hapo hapo ninduara, hiyo ni contradiction.

Tumesema kitu ambacho kina sifa zinazopingana, kitu hicho hakipo.

Habari ya contradiction kuhusiana na pembetatu ambayo hapohapo ni duara inaonesha pembetatu ambayo hapohapo ni duara haipo.

Ni hadithi ya kutungwa na watu tu.

Unakubali kwamba pembetatu ambayo hapo hapo ni duara haiwezi kuwepo katika Euclidean geometry? Na hili linaeleweka kwa kuangalia ukweli kwamba kitu kimoja kuwa pembetatu na duara kwa wakati huo huo ni contradiction?
 
Dini nyingi za asili zilikuwa na mambo mengi ya hovyo sana.
Dini nyingi za asili zilikiua na mambo hovyo,je ni dini gani isiyopitwa na wakati na kufanyiwa editing?.Hivi kweli unazijua sababu za waislam kwenye mafundisho yao kupenyeza vitu vinavyoitwa #Hadithi na Visa?.

Basi kwa ukweli ulio zahiri ni kwamba,baada ya kuona kitabu chao kukuu msaafu kinashindwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya mambo tunayoendelea kuyajua baada ya ukuaji wa sayansi na teknologia basi na wao hurasmisha maandishi mapya ya kutunga na kubuni kwa jina la hadithi na visa ili kwenda na wakati.

Na hiyo ni kwenye dini zote,kadiri muda unavyokwenda basi kuna baadhi ya maandishi yao hukosa mantiki.Zinduka mtu mweusi!.
 

"Contradiction ni hali ya mambo mawili yanayopingana kusemwa kuwa yanatokea pamoja kwa namna ambayo haiwezekani"

Sasa turudi kwenye mada yetu ya Mungu, ni mambo mawili yapi yenye kupingana ambayo hufanya hiyo contradiction?
 
"Contradiction ni hali ya mambo mawili yanayopingana kusemwa kuwa yanatokea pamoja kwa namna ambayo haiwezekani"

Sasa turudi kwenye mada yetu ya Mungu, ni mambo mawili yapi yenye kupingana ambayo hufanya hiyo contradiction?
1.Mungu ana upendo wote.

2. Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya kedekede yanawezekana, watu wanaumia na kufa kwa majanga, magonjwa, mioto, ma tsunami etc.

Hii ni contradiction au si contradiction?
 
Kwa uhakika huifahamu Qur'an,wala huufahamu uislamu,uislamu ndani ya Qur'an,na kupitia kwa Mtume Muhammad imealezea,kuwa Mungu,alileta mitume wengi tu duniani,wa mataifa tofauti na vitabu tofauti,na kwa makabila tofauti duniani,vitabu kama Taurati(Tora),Injili,Zaburi na vingine vingi,vya dini,vinatambulika katika uislamu,viko katika lugha tofauti,vilitumika kwa wakati wake.Mpaka kuja Qur'an kuandikwa kwa lugha ya kiarabu(standard Arabic),kiarabu cha kimataifa,ni kiarabu ambacho kiko rahisi kujifunza,kuliko lugha yoyote duniani.Na hata wewe ndani ya maisha,unatumia lugha ya kiarabu kwa kuongea,kuhesabu,maneno mengi katika lugha nyingi kiarabu kina maneno ndani yake,mpaka lugha za za kisomi tunatumia lugha ya kiarabu:
1:Neno hesabu,hisabati,na namba tunazotumia 0123456789,ni namba za kiarabu,karibia dunia nzima wanatumia namba hizi,darasa ni neno la kiarabu.
2:Ukija kwenye sayansi na hisabati twatumia maneno mengi ya kiarabu,kuanzia,kama aljebra,nk
Maneno mengi katika chemistry,neno lenyewe kemia ni kiarabu,majina ya alikaline(kama umesoma chemistry,itakuwa majina ya alkaline unayafahamu)na mengine mengi,ni.kiarabu,tukiyaandika hapa itachukuwa maandishi mengi.Hata neno kitabu,ni kiarabu,kalamu ni kiarabu nk.
Kwa hiyo Qur'n imekuja kwa kiarabu,kwa vile ni lugha nyepesi kujifunza na kuelewa,mbali ya kuwa na na alphabet yake,tofauti na lugha nyingi duniani hazina alphabet zake.Kwa kuziandika lazima utumie alphabet za lugha nyingine,mfano kiingereza,hakuna alphabet zake,inatumia alphabet za kilatini.
Kwachiyo kiarabu kimejitosheleza kwa
1.Lugha kujifunza ni rahisi
2.Ina alphabet zake
3.Ina mfumo wa namba zake(aina mbili ya mfumo wa namba)
4.Ni lugha ,ambayo imechanyika katika lugha nyingi duniani.
Kuwepo Maka na Madina,hakuna pendeleo wowote,makabila yoyote kabla ya kuja Qur'an,walikuwa na sehemu zao takatifu,Kwa mfano hata hapa Tanzania ziko sehemu,makabila yakifanya ibada,kwa kila eneo.Wapo waliokuwa wakifanya mapangoni,wapo wakifanya milimani,wapo waliokuwa wakifanya kwenye miti mikubwa,wapo waliofanya kwenye mito,nk,na kila sehemu ya dunia wapo kama Wahindu wakifanya kwenye mto mkubwa,nchini kwao nk.
Iipokuja Qur'an ndio ikaleta ibada ya pamoja,ya sehemu moja,Maka na Madina,na manufaa yake yanaonekana,kiuchumi,kiumoja,nk.
Ibada ya Maka na Madina,ki uchumi inafaidisha,Muislamu,asiye Muislamu,asiye na dini,kwa sababu huduma wanazotumia wanaokwenda Maka na Madina,kuanziaTaxi,mahoteli,guest,wakala wa tiketi za ndege,ndege wanazopanda,vyakula,wanyama,nguo nk,vyote vinavyotumika havichagui umenunua kwa mwenye dini gani au asiye na dini.Ni mtu mwenyewe kuchangamkia fursa.Uinue uchumi wako,na Taifa,kwa kuchangamkia fursa.
 
Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuwepo kwake,kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Ni kilichopo ndio husemwa hakipo,kwa kuwa kipo.
 
Watu wengi duniani hukosa fursa za kiuchumi kwa kupinga,jambo fulani,bila kuliangalia kiuchumi.
Kwa mfano uwepo wa watu wanaomini,kuwa kuna Mungu ni fursa nzuri sana,kiuchumi.Hawa watu wanaomini uwepo wa Mungu,ima wakiwa waislamu,wakristo,wahindu nk.Ni jumuia za watu wengi,wanamahitaji muhimu kwao,kuanzia majengo ya ibada,vifaa vya ujenzi vinavyotumika kujengea,vifaa wanavyotumia katika ibada zao,kama viti,mazulia,vipaza sauti,nk.
Ukija kwenye ibada na sherehe zao,ni furasa ya kibiashara,kuanzia vyakula vyao,vinywaji,nk
Magari wanayotumia, wanatumia mafuta,oil ,vipuli,nk
Na wanasafiri kwenda nje ya nchi,kama Maka,wanatumia usafiri kuanzia Taxi,mabasi,ndege kutoka duniani kote.Kulala kwenye mahoteli,maguest house,vyakula wanavyokula,nguo,kule kwenye ibada kunatakiwa vyakula,nguo,viatu,wanyama kama ng'ombe,mbuzi,kondoo,ngamia,kuku,samaki ,tena kwa pesa za kigeni.
Kwa hiyo uwepo wa Mungu,na kuamini kuwepo kwake,ni fursa tosha ya kiuchumi,kwa mwenye akili.
 
1.Mungu ana upendo wote.

2. Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya kedekede yanawezekana, watu wanaumia na kufa kwa majanga, magonjwa, mioto, ma tsunami etc.

Hii ni contradiction au si contradiction?
Ok sasa kama hiyo 1 na 2 zinaji contradict sasa inakuaje hiyo contradiction ifanye 1 ndio iwe haipo?
 
Uandishi wako unatia uvivu kusoma na ukizingatia maelezo marefu sana.
 
Imagine Kama mwarabu asingekuja Africa mpaka miaka hii. Tusingekuwa na mwingiliano nao. Ungepata wapi huo muda wa kuifahamu. Na je uko huko kisa umezaliwa ukakuta wazazi wanaenda huko ukaanza kushindiliwa ubongoni mpaka yakaota
Kwani wachina wanaishije???
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Unaposema dini haijaletwa na mzungu wala muarabu, wakati maneno ya dua yako katika hizo lugha za kigeni, unamdanganya nani?
 
Hujakanusha hoja yangu kwa hoja.

Shetani naye katungwa na watu tu. Nje ya hadithi hizo za watu, hayupo.
kuweka mipaka katika ufahamu ni tatizo linalowakabili watu wengi, baadhi ya watu hudhani ufahamu walionao juu ya jambo fulani ndio mipaka ya ufaham kitu ambacho si sahihi.

kama ilivyo katika sayansi ya kimwili hata kwenye sayansi ya kiroho ili uweze kuthibitisha uwepo wa mungu/shetani kuna kanuni zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…