one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,325
Hapana sio tusi kamtukane Mama yako ndio utajuwa tusi au sio tusi.

Takbiiiiir ….weka matusi hayo hapaUhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. Pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
Watu watoe maoni bila kumtukuna mtu. Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
Sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Rais chukua hatua kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Umeanza uwakili wa serikali lini?Hakuna anayechukua mali yetu na kuiuza, tatizo ni uelewa kuwa mdogo. Na lenyewe huwezi kuliita tatizo kwani njia za kuukuza uelewa zipo kila mahali.
Sasa unapiga kelele humu toka hapo mtaani kwako anza hayo kwa lolote ndio utaita maji mmaaaTumeshasema huo mkataba hatuutaki na sasa tupo tayari kwa lolote
Kwa hii tafsiri mtuhumiwa namba moja yuko wazi kabisa na ninaogopa kumtaja maana nikimtaja hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHizi ndizo tafsiri za neno uhaini
1. Tendo la kusaliti nchi yako, mipango ya kupindua serikali
2. Tendo la kuvunja mkataba au kufanya jambo kinyume cha lile ambalo uliahidi kwa mfano kula amana ya mtu
Katika tafsiri zote mbili kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, sioni hata moja inayoendana na tuhuma ulizozitaja...
Hivi Nape na TCRA yake wako wapi. Au Nape anafurahia bosi wake kudhalilishwa, waziri wa mambo ya ndani jana katoa maelekezo yake tusubiri utekelezaji, nimempenda Eng. Masauni. Nape NNauye km vipi achia ngazi si unaruhusu rais wetu kudhalilishwa labda km umeridhika na unafurahiaUhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. Pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
Watu watoe maoni bila kumtukuna mtu. Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
Sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Rais chukua hatua kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
kilichouzwa ni shamba lenu rudi kijijini kwenu kawasaidie, kenge mkubwaIla kuuza nchi yetu sio uhaini??
Acha kujipendekeza pendekeza mtoto wa kiume.
dini ipi, sisi hatuna udini we nyau. Acheni kumtukana rais toeni hoja kistaarabu itaeleweka. Mkianza kushughulikiwa wa kwanza kupiga kelele, iwe wastaarabuWIvu na udini ndio unawasumbua baadhi ya watu..wala tusizunguke!
we hata mamako aliyekuzaa ni mpumbavu, unajua kusoma? Umeusoma mkataba wenyewe? Kima lisilo na aibuKwenye mkataba wa DPW haujaona Saini ya President? Sasa tukisema ameuza bandari ni tusi? Tukisema bora chifu mangungo wa msovero kuliko chifu hangaya wa zanzibar kwenye mikataba ni tusi? Madalali wenzako Kitenge na Musukuma wamepewa V8 na waarabu ,wewe umepewa nini?
sasa mbwa km wewe aelezejwe km mpaka waziri mkuu amejitahidi kufafanua huelewi, sasa msijelalamika, nyie si wanaume, ngoja muanze kupotea moja mojaHao watu wanashida sana , wanaulizwa mkataba ni wa muda gani kimya? Wanaulizwa kwa nini mgawe kwa mtu mmoja bandari zote za bahari na bandari za maziwa makuu kimya? Wanaulizwa mnaona mlichosaini kina faida kwa nchi hawajibu, wanakimbilia oohh kwakua mzanzibar haya kama mnajua ni mzanzibar kwa nini ayafanye hayo sehemu ambapo sio zanzibarutasikia ooohhh ni udini wanaulizwa kwani dini inaingiaje kwenye bandari wako kimya hawa jamaa wa ajabu kwelikweli
Kama ungetoa angalau mfano wa matusi aliyotukanwa ungeonekana Unazo kumkichwa. Ila kwa hapa Unalako jambo!!Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. Pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
Watu watoe maoni bila kumtukuna mtu. Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
Sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Rais chukua hatua kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Kwa kuongezea, ni tenda gani walitangaza ili makampuni yapimwe kulingana na sheria za nchi znavotaka? Sheria za manunuzi au uwekezaji zilizingatiwa ?Hao watu wanashida sana , wanaulizwa mkataba ni wa muda gani kimya? Wanaulizwa kwa nini mgawe kwa mtu mmoja bandari zote za bahari na bandari za maziwa makuu kimya? Wanaulizwa mnaona mlichosaini kina faida kwa nchi hawajibu, wanakimbilia oohh kwakua mzanzibar haya kama mnajua ni mzanzibar kwa nini ayafanye hayo sehemu ambapo sio zanzibarutasikia ooohhh ni udini wanaulizwa kwani dini inaingiaje kwenye bandari wako kimya hawa jamaa wa ajabu kwelikweli
Rais asitukanwe akiwa kama nani,? uliyoyaandika ni pumbavu, unayemlinda kupitia maandishi yako ni mpumbavu, wewe pia ni mpumbavu, kizazi cha washenzi!Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. Pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
Watu watoe maoni bila kumtukuna mtu. Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
Sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Rais chukua hatua kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
😂😂😂🤣💯👊KADA Naona umevurugwaa
we hata mamako aliyekuzaa ni mpumbavu, unajua kusoma? Umeusoma mkataba wenyewe? Kima lisilo na aibu
sasa mbwa km wewe aelezejwe km mpaka waziri mkuu amejitahidi kufafanua huelewi, sasa msijelalamika, nyie si wanaume, ngoja muanze kupotea moja moja
Mbona hujataja jina kamili sehemu ulipo na namba za simu tuweze kukupata kipindi cha teuziUhuru usio na mipaka ni uhaini.