kumtongoza mwanamke kwa gia ya kuoa

kumtongoza mwanamke kwa gia ya kuoa

Hiyo gia waga haidanganyi. Kukolezea na ww unasema kama ni sex mtafanya sana mkishaoana. Kwahiyo hauna haraka sana na sex. Harafu baada ya wk moja unaomba game!!!!!
 
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha

Wadada wa mujini waneshalishtukia hili...ndio maana ukimpeleka tu kwako baada ya miezi unatangaza ndoa...
Jiulize katumia mbinu gani kukuweka kwenye 18 zake wakati we ulikuwa unataka kumega na kusepa.
 
Haaa yaani ukimtongoza akilia tu basi huyo ni wife material? Vipi kama analia kwa kukuonea huruma maana wewe utakuwa mtu wa 45 kukuambukiza?

Hapo lawama zako mwenyewe, iweje usione 'chombo' makini?
 
"Kwanini umenipenda?!" Hahahaha, ukimswagisha anakubali. Ukimuuliza "kwanini umenikubali utajibiwa kwakuwa nimekupenda!

Mdada makini hatokuuliza maswali rahisi namna hiyo, atakuundia mtego mtamu mpaka mwenyewe ujieleze kwa nini umejipata mitaani kwake.
 
kuna mmoja hatukuwahi hata kudate tulikuwa tu tunapeana salamu akaja kunishtukiza anataka kuleta posa home nilimtoa nduki hakuamini na hakurudia tena kunitamkia posa so kwangu mimi ukija na gia ya kunioa utajuta kunifaham coz najua humaanishi
mtu anataka kuleta posa nae hamaanishi!?
 
Sawa mkuu! Wabheja saana! 2tazingatia!!

Nashukuru umesema utazingatia maana unaweza kupeleka wachumba nyumbani hadi mara 5 mwisho wakaishia kukushangaa mtoto kike.
 
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha

Kuna mtu alinitongoza kwa gia hiyo huku ana mke na watoto2,,,,,,, nikaamua kumkera na kumwambia;
"Nipe laki mbili na nusu nikupe papuci ya fasta kuna mteja ananisubili gesti."
Aliondoka kwa hasira na hajarudia tena ujinga wake.....
 
Yote yanin ayo! Eleza lengo lako.. Kama number busy jarib tena bdae. Skuiz mwanamke ukitaka akuone muongo mwambie utamuoa
 
tunataka sana mkuu....ila asikwambie mtu mambo ya kuoana yanatokea automatical na cyo kulazimishana au kukomalia aisee,,ndoa na iheshimiwe na watu wotee:smile-big:

Kweli kuoa ni automatic kama ataridhika na wewe but still lazima ujue malengo yake kwako mean while unamchabo tu na kuwa makini usijibweteke ukasuuzika roho kisa kakuahidi ndoa utaumia sana
 
siku hizi mwanamke ukimatakia unamuoa asiee hata kabaang anaweza kukupa yaani most women now adays wanachowaza ni ndoa tu.
 
Bora kuwadanganya mana ukimtaka tu utamsikia utanioa au unataka kuniichezea?
 
Kuna mtu alinitongoza kwa gia hiyo huku ana mke na watoto2,,,,,,, nikaamua kumkera na kumwambia;
"Nipe laki mbili na nusu nikupe papuci ya fasta kuna mteja ananisubili gesti."
Aliondoka kwa hasira na hajarudia tena ujinga wake.....
We hujakutana wa wavumilivu...
 
Kuna mtu alinitongoza kwa gia hiyo huku ana mke na watoto2,,,,,,, nikaamua kumkera na kumwambia;
"Nipe laki mbili na nusu nikupe papuci ya fasta kuna mteja ananisubili gesti."
Aliondoka kwa hasira na hajarudia tena ujinga wake.....

mmmh angekupa ungeachia?
 
:shocked: Hivoooo!!!
Mi nilijua wanazimika na :blah: zangu

kweli tena unafikir kwnn mkishasepa baada ya kula mzigo watu wanaumia...navojua most women do for love,ht km love haipo smwhr moyoni she wishes fo it,
 
Mkuu we unaongelea gia ya kuoa, wajanja wanaingilia hela...
Vibinti vya siku hizi vinapenda mtu mwenye hela utasema jini la hela kichwani, afu ukiwa na viswagaswaga vya kwenye tamthilia kama za kifilipino au za wakorea ndio kabisaaa umemaliza kazi...
Kama unajijua ni binti wa namna hii nakupa pole, hutoishi maisha ya furaha hata siku moja amini nachokwambia,
utapata moja utaona anahizo tabia then movie mpya zitakuchanganya utataka character tofauti, utabaki kuhamahama tu au utaolewa na mtu ambaye hukumpenda, ulitamani tu visifasifa flani, ndio maana siku hizi talaka ziko tele, mimi nikikuoa ukaja na ujinga wa namna hii ntakutandika viboko kudadeki.. Kama hunipendi ole wako ufunge ndoa na mimi, ntakutandika viboko, nichokonoe kwingine kwote ila hapa tu utaniambia kwa nini ulifunga ndoa na mimi kama upendo hakuna.. ntakunyooosha inaitwa hujawahi sikia
 
Back
Top Bottom