Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
Kama mwanaume anataka nimdharau kabisa ajaribu kuingia na hiyo gia
Haaa yaani ukimtongoza akilia tu basi huyo ni wife material? Vipi kama analia kwa kukuonea huruma maana wewe utakuwa mtu wa 45 kukuambukiza?
"Kwanini umenipenda?!" Hahahaha, ukimswagisha anakubali. Ukimuuliza "kwanini umenikubali utajibiwa kwakuwa nimekupenda!
mhh nakutakia mafanikio mema kwenye kusaka hyo mama watoto ako...!
mtu anataka kuleta posa nae hamaanishi!?kuna mmoja hatukuwahi hata kudate tulikuwa tu tunapeana salamu akaja kunishtukiza anataka kuleta posa home nilimtoa nduki hakuamini na hakurudia tena kunitamkia posa so kwangu mimi ukija na gia ya kunioa utajuta kunifaham coz najua humaanishi
Sawa mkuu! Wabheja saana! 2tazingatia!!
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
tunataka sana mkuu....ila asikwambie mtu mambo ya kuoana yanatokea automatical na cyo kulazimishana au kukomalia aisee,,ndoa na iheshimiwe na watu wotee:smile-big:
We hujakutana wa wavumilivu...Kuna mtu alinitongoza kwa gia hiyo huku ana mke na watoto2,,,,,,, nikaamua kumkera na kumwambia;
"Nipe laki mbili na nusu nikupe papuci ya fasta kuna mteja ananisubili gesti."
Aliondoka kwa hasira na hajarudia tena ujinga wake.....
ehh jmn wanaume....mwanamke hadi kakupa jua anakupenda,usim'take for granted
Kuna mtu alinitongoza kwa gia hiyo huku ana mke na watoto2,,,,,,, nikaamua kumkera na kumwambia;
"Nipe laki mbili na nusu nikupe papuci ya fasta kuna mteja ananisubili gesti."
Aliondoka kwa hasira na hajarudia tena ujinga wake.....
Kama mwanaume anataka nimdharau kabisa ajaribu kuingia na hiyo gia
:shocked: Hivoooo!!!
Mi nilijua wanazimika na :blah: zangu