Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
mie ukija na gia ya kuoa unaambulia cha mbavu hahaha..bora hata uje na sound za ku-date kawaidaa...kuoa uchuro mwee!
tunataka sana mkuu....ila asikwambie mtu mambo ya kuoana yanatokea automatical na cyo kulazimishana au kukomalia aisee,,ndoa na iheshimiwe na watu wotee:smile-big:
mie ukija na gia ya kuoa unaambulia cha mbavu hahaha..bora hata uje na sound za ku-date kawaidaa...kuoa uchuro mwee!
Hujui kwamba wajinga ndio waliwao.Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
ninyi ndiyo hamjui kula na kipofu , hiyo ndiyo gear nzuri ya kumuumbua na kuwalia mafala , yeye akija na vipesa vyake vya kimagumashi wewe unavipurua akija juu unamwambia mimi si mke mtarajiwaKama mwanaume anataka nimdharau kabisa ajaribu kuingia na hiyo gia
Jamani
Sasa kwa sisi ambao tumezoea kujibu 'why' tunatongoza kabla ya kusema 'how' na 'what' inatulazimu tubadili mbinu za medani ama sio? Lakini ni ngumu kubadili hizi mbinu aisee...mtusamehe bure maana mwaka 2014 tunaanza rasmi kusaka mchumba atakayekuwa mke wa ndoa, muda wa 'nipo nipo kwanza' ushapea.
Wasichana waliowengi wakitongozwa huuliza "kwanini"?
ndio dawa yao wanajifanya wajanja sanaWanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
mhh nakutakia mafanikio mema kwenye kusaka hyo mama watoto ako...!Jamani
Sasa kwa sisi ambao tumezoea kujibu 'why' tunatongoza kabla ya kusema 'how' na 'what' inatulazimu tubadili mbinu za medani ama sio? Lakini ni ngumu kubadili hizi mbinu aisee...mtusamehe bure maana mwaka 2014 tunaanza rasmi kusaka mchumba atakayekuwa mke wa ndoa, muda wa 'nipo nipo kwanza' ushapea.
oh! sure??????????????ila unajua mkuu unaambiwa ndoa haina experience!!!!so kama kaka ako kafanya hvo hyo ilikua bahati yake na njia akeenot automatically, ndoa inapangwa kama ilivyo vitu vingine, ndo maana watu wanaingia kwenye relation then after wanaanza hzo processing as my brother did to his wife...
Hii ni lugha gani? Rudi kwa wenzako FaceBook ukajifunze kuandika, hapa JamiiForums hautapaweza!Em ht we saidia a girl afanye uchuguz zaidi kivp km had mtu ashakuja kujitambulisha,cz those r among th thngs that make u really believe he's serious,smtym km ipo ipo tu na km haipo haipo tu,though nt exactly th same ,ndoa nwadays dizain km any othr relationship u cn divorce and get on to anothr rlship o marry sm1 else
sio walio wengi bali wasichana makini aka wife materials
sio walio wengi bali wasichana makini aka wife materials
Wanaume wa kweli hawana gia hiyo. hiyo ni gia ya wanawake kukubali mtongozo. hata mimi hiyo
huwa inanitokea sana baada ya kumpanga demu sawa sawa utasikia "wewe Unataka kunichezea tu"...
sasa unafikiri mzee mzima itajibuje na kitumbua tayari naona kinaanza kumwekumweku, naunganisha tu..
Mi nataka niwe wako wa maisha.. Baada ya hapo nampiga busu shavuni kama mwema vile...
Hii ni lugha gani? Rudi kwa wenzako FaceBook ukajifunze kuandika, hapa JamiiForums hautapaweza!