Utayajenga vipi na mke wa mtu!!!Habarini wakuu,
Kuna mdada mmoja yuko mitaani kwetu sio siri nilivutiwa nae nikapenda tuyajenge tuwe familia moja, cha ajabu nilishushiwa mvua ya matusi ajabu akidai nimshushia heshima na yeye ni mke wa mtu..
Hivi wakuu kumfungukia mdada ni kumkosea heshima?
Hapana nilijua baada ya kunitolea matusiWw una haki ya kupokea matusi mazito sababu unajua kabisa huyo dada ni mke wa mtu na bado unamtongoza
Sio wote bana . Wengine hatupo hivo..Ukitongoza kifala matus utayaoga
tu
Wake za watu n cheap sana
Kutongozeka lkn kwakua Bado
Uko na utoto subr ukue utajua
Kutongoza
N baadh tu cjasema woteSio wote bana . Wengine hatupo hivo..
Afadhali umerekebisha kauli.N baadh tu cjasema wote
Ila 60% wako hvo
Ucjal naelewaAfadhali umerekebisha kauli.
hakuna watu warahisi kuliwa kama hao wake za watu nikwambieUnauliza majibu mkuu?? Kwani we hukujua kuwa huyo ni mke wa Mtu SMH