MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,221
- 2,236
Tafuta mahubiri ya pastor Daniel Mgogo msikilize, huwa anashauri vizuri sana kina mama na wafia ndoaAsante sana nashukuru nimekuelewa

Kweli kabisa lazima aanze kujithamini mwenyewe ndo atathaminiwa, akimrusha roho kidogo tuu lazima mwanaume atapata wivu.Achana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
Nitalitendea kazi my dear asanteeAchana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
Nitayatafuta kwakweli asante sana ndugu yanguTafuta mahubiri ya pastor Daniel Mgogo msikilize, huwa anashauri vizuri sana kina mama na wafia ndoa
Na ukitaka kupambana pambana na mchumba wako aache michepuko, michepuko inakuja na mengi sana ya kuharibu kumbuka mchepuko siku zote anamjua mke lakini mke hajui, mchepuko anaweza ata kumdhuru mke ili aolewe yeye.. ni heri kuwa single kuliko kuwa na mume mchepukaji kila Kona.. pambana na mchumba wako awe na tabia njema achana na michepuko yake.Nitayatafuta kwakweli asante sana ndugu yangu
Nakushauri usiufuate huo ushauri. Mke wa Kaisari aliachika kwa kuhisiwa anachepuka licha ya uchunguzi kuonyesha kuwa hachepuki. Mumewe alimuacha huku akidai Mke wa kaisari hapaswi kuhisiwa kuwa anachepuka.Nitalitendea kazi my dear asantee
Deal na wako, huyo dada hana hatia yyt amependwa kama wewe ulivyokuwa unapendwa!Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.
Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.
Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Nikushukuru sana sana.. nitajitajidi na MUNGU anisaidie kwakweliNa ukitaka kupambana pambana na mchumba wako aache michepuko, michepuko inakuja na mengi sana ya kuharibu kumbuka mchepuko siku zote anamjua mke lakini mke hajui, mchepuko anaweza ata kumdhuru mke ili aolewe yeye.. ni heri kuwa single kuliko kuwa na mume mchepukaji kila Kona.. pambana na mchumba wako awe na tabia njema achana na michepuko yake.
Duu! Umenikumbusha uzi wa kamanda DeepPond nesi kumpa dozi ya dawa ya matone mumewe hadi kuwa hanithi na hadi kufa kabisa. Chanzo huanza hivi kama masihara vile.Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.
Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.
Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Kwa hiyo yeye awe busy anaombea hako kaupendo ili hali mwanaume yuko busy ana enjoy 🤣 huo si utumwa jamani. Kwani nani kasema single maza hawaolewi na pia sio lazima kuolewa kama hujampata mtu sahihi wa kuthamini upendo wako kwake.Nakushauri usiufuate huo ushauri. Mke wa Kaisari aliachika kwa kuhisiwa anachepuka licha ya uchunguzi kuonyesha kuwa hachepuki. Mumewe alimuacha huku akidai Mke wa kaisari hapaswi kuhisiwa kuwa anachepuka.
Ushauri wangu, ombea hako kaupendo kadogo ambako jamaa bado anako kwako kasiishe kwa maana hako ndo kanawaunganisha bado. Hako kaupendo kakihamia mazima kwa mchepuko utabadilishwa jina na kuitwa single mother
So asubiri hadi amletee au sioKizuri kula na ndugu zako, shukuru hajakuletea ugonjwa
Kama huyo mwanaume anampenda atabadilika,ila kama hampendi ansishi naye tu kwa sababu ya mtoto ndo atazidisha vituko na mwisho wa siku atashangaa na mtoto kazaliwa,ni huzuni kwa kweliWala usimtafute jitahidi uwe mtu wa furaha usimuulize kitu huyo mumeo vaa pendeza usiwe mtu wa kujali kuchelewa kwake japo ina kera sana uone kama haja badilika
Point nzuri sana hiiHuu ushauri wako kwa MWANAMKE ambaye alishapenda na kumchukulia mwanaume aliyenae kama ndio soul mate wake ni ngumu kuufuata maana moyo ulishapenda, moyo ulisharidhika, moyo ulishataka na kujiaminisha kuwa ni mimi tu. Sasa sijui kama atakuelewa. Let's see bro
Ni kweli, lakini watu wanaoongoza kuja hapa MMU kuomba ushauri kwa maswala ya mapenzi, sasa sijui unataka tuwaignore?🤔😄Mapenzi hayana ushauri mkuu.
Ondoka Haraka.... Furaha yako ni Muhimu.Habari za muda huu ndugu zangu,,