Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Itoshe tu kusema pole mamie,Jamaa ako kaonesha dalili mbaya hata kabla ya ndoa,jaribu kutafakari vizuri na uchukue hatua inapobidi.
 
Acha kutetea upuuzi, wanaume wengi wanachepuka ila hawaonyeshi dharau za waziwazi, hakuna ndoa hapa…dada separate, mistake ni kusubiri abadilike na kutulia, it will never happen my dear.
Ndivyo mlivyo sikushangai. Huwa hamtaki kuujua ukweli. Kumbuka ule mjadala wa aliyemshitaki kwa kumsingizia amebaka mtoto wa kufikia
 
Kwaweli sijawahi ndugu yangu ndo kwanza nilitaka nimtafute huyu .. huwa sipendi sana kuhangaika na michepuko yake lakini huyu kwakweli kazidi mpaka ananitia wasiwasi...
Yaani can you imagine leo katoka asubuhi kazini alikua night... so akirudi asubuhi huwa analala siku nzima ila akianza off ambayo ndo leo kaanza anaweza asilale... sasa kafika kala anasema anataka kutoka... na niliumia kidole so few days sijafua leo nimefua nguo zote kama box*r zake zooote zilikua mbichi kwenye kamba.... huwezi amini kaianua mbichi kakukausha na pasi na kasepa ndo sijamuona hadi sasa maana nilimwambia ni mbichi subiri zikakuke utatoka kaona isiwe tabu kaikausha kwa pasi sasa ndo najiuliza ina maana huyo dada ndo muhimu kiasi hiki
Pole sana dada angu unaonekan unaupendo na jamaa lkn yeye haheshimu upendo wako jipange taratibu aje akutafute kwa tochi kama una mtoto bc huyohuyo usibebe mimba nyingine usimuulize chochote atajiona keki fanya yako ya muhimu
 
Nimekaa nikakumbuka kisa cha mwanamke wa kiNigeria aliekuwa anafukuzia gari lililokuwa na mchepuko+mumewe nadhani...(don rem very well). But akaishia kupata ajali na kufariki katika ile Race. And miezi kadhaa baada, mumewe nae akafariki kwa sabbu ya mawazo kwamba uhuni wake ndio uliommaliza mke wake. Akajilaumu..sana, and nasikia alipata stroke kama sijakosea. So na yeye akasepa...mchepuko probably anatafuta project ingne kuzimu huko....ni vijiwazo tyuuuu
Nlishaiona hii mivie
 
Habari za muda huu ndugu zangu, ningependa kusaidiwa jambo.

Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko, mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka, huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana simu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke, hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote "Unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio?". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika, akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je, ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Labda humu kuna watu wanamjua mchepuko wa mumeo.
Kwanza tuambie unataka ukaribu na huyo mchepuko kwa lengo gani?

Usimdhuru mwanamke mwenzako kwa ujinga wa mwanaume
 
If taarifa hii ni kweli, nakushauri acha kuumiza kichwa chako tulia, wewe huwezi kumzuia mwanaume wako hasichepuke.

Wanawake mnapaswa mjue, kwamba mwanaume ni kama jogoo la kuku au mbuzi beberu kisifa, ukiona mwanaume ameridhika na moja ujue ana matatizo huyo.

Mimi niseme tu ukweli nampenda mke wangu ila namcheat, kuna mda nahitaji game aina fulani ambayo siwezi kuupata kwa mke wangu ila suluhisho ni mchepuko.

Kile ninacho kifanya kwa mchepuko siwezi peleka kwa mke wangu mpendwa na mama watoto wangu itakuwa ni mateso na maumivu kwake, hivyo nampenda mke wangu na sitaki ajue na sijawai kulala nje wala kumuonyesha dalili yoyote, simu zangu password anazijua zote na namuachia hadi hizo simu
 
Labda humu kuna watu wanamjua mchepuko wa mumeo.
Kwanza tuambie unataka ukaribu na huyo mchepuko kwa lengo gani?

Usimdhuru mwanamke mwenzako kwa ujinga wa mwanaume
Mwanaume kuchepuka sio ujinga, na kama kweli wewe ni mwanaume anajua unalitambua hilo, ndoa nyingi zimeshikiliwa na michepuko.
 
Tabia ni kama ngozi haibanduki....chagua mawili kuvumilia au kusepa
 
Uko cheap sana, unaenda je kukaa kwa mtu bila ndoa? Kisa amekamilisha mambo ya kimila?
 
If taarifa hii ni kweli, nakushauri acha kuumiza kichwa chako tulia, wewe huwezi kumzuia mwanaume wako hasichepuke.

Wanawake mnapaswa mjue, kwamba mwanaume ni kama jogoo la kuku au mbuzi beberu kisifa, ukiona mwanaume ameridhika na moja ujue ana matatizo huyo.

Mimi niseme tu ukweli nampenda mke wangu ila namcheat, kuna mda nahitaji game aina fulani ambayo siwezi kuupata kwa mke wangu ila suluhisho ni mchepuko.

Kile ninacho kifanya kwa mchepuko siwezi peleka kwa mke wangu mpendwa na mama watoto wangu itakuwa ni mateso na maumivu kwake, hivyo nampenda mke wangu na sitaki ajue na sijawai kulala nje wala kumuonyesha dalili yoyote, simu zangu password anazijua zote na namuachia hadi hizo simu
Humpendi mkeo wewe...ungempenda usingechepuka
 
Kile anachofuata huko hata wewe unacho.
Ongeza ufundi kwenye mapishi, ongeza ufundi na huko, mpe mumeo amani, jiweke msafi.

Ukitaka kumpata mwanaume hata Mimi, Ni chakula, Mambo ya ndani na amani.
Unafikiri angepata amani kwako angeenda kuhangaika?
Sio kweli,uchepukaji ni nature ya mtu,kuna mwingine hata umfanyie Nini atachepukw tu,na ukweli ni kwamba mwanaume abadilike TU mwenyewe,lkn mwanamke hawezi kubadilisha tabia ya mwanaume Hadi atake mwenyewe
 
Kuchepuka kunaketwa na,
1. Kero ya maneno maneno kwa wanawake wanaopenda kuongea Sana.
2. Kutopewa penzi vizuri, Mara anaumwa na kichwa, Mara tumbo, Mara hayuko kwenye mood.
3. Chakula kizuri, kule nje japo michepuko inatupikia na mauchafu yasiyo semeka lkn uongo mbaya, michepuko unajua kukarangiza.
4. Chura na nature ya mtu. Hii haina dawa mpaka MTU apate kisukari.
 
Ndivyo mlivyo sikushangai. Huwa hamtaki kuujua ukweli. Kumbuka ule mjadala wa aliyemshitaki kwa kumsingizia amebaka mtoto wa kufikia
Nani haujui ukweli… hamna ndoa hapo na wala mimi Sio wa kwanza kuliona hili, kuhusu kuchepuka kuna wanaume hawachepuki pia kwa tsarfa yako
 
Aisee pole sana ilaa usideal kabisa na huyo mwanamkee.. Mwambie mumeo anachofanya sio sawaa ukiona hataki kujirekebisha aisee hujazaliwaa nae fanya yako hata usimuulize tena yani USIMUULIZE TENA NA MIND UR TIME. ushawahi kufanya mambo yako ukaamua kumpotezea mtu japo utakuwa unaumia ilaa fanya hivyo maumivu yakizidi tafuta Kijamaa kiwe kinakutoa genyeee Alafu jama mbaniee yani bana mchongoo akikuuliza mwambie sikuamini. Enjoy life dada
Kaka hujasoma Nyakati tu. Mwanaume ukiwa na pesa unavumilika hata uwe na michepuko mia. Huyo bado ana njaa ndo maana anavumilia. Angekuwa na umate mate zamani. Aondoke akaanze upya atafute pesa yake Ili asinyanyasike.
 
Back
Top Bottom