Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Mpe tiGo
 
Ni jambo moja mwanaume wako kuchepuka kisiri na akawasiliana na mchepuko wake wala usijue...lakini ni jambo lingine kabisa kwa mwanaume wako ambaye hajakuoa kuanza kuongea na mchepuko wake muda wowote hata saa 12 asubuhi. Huyo hakupendi, hakujali, hajali hisia zako wala hajali hatua yoyote utakayochukua. Kama kuolewa tu ni kipaumbele chako...olewa. Kama kipaumbele chako ni ndoa yenye furaha nadhani hapo sio penyewe. Samahani lakini. Kuzaa kusikufanye ujute maisha yako yote. Kuna watu nawajua wamezaa kabla ya ndoa na wakaolewa na watu waliojua thamani ya mwanamke.
 
Ukimtafuta mchepuko ndo utazidi kuumia na atakuwa anakurusha roho, cha kufanya kuwa busy na issue zako kama huna kazi , tafuta kitu cha kukufanya uwe busy, jitahidi kuvaa, kupendeza na wikiend kutoka out na mwanao ata kwenda kula mihogo tuu au kutembelea ndugu, yani mume akiwa busy na mchepuko nawe kuwa busy na shughuli zako agiza hata chipsi kuku na big pepsi kulaaaaa , life is too short, tafuta pesa tafuta pesa .
Asante sana nashukuru nimekuelewa
 
Asante nashukuru.. Sometimes akimpigia hapokei kama nipo au laah anatoka nje mbali kabisa na nyumba ndo akaongee
 
Utaendelea kutafuta michepuko ya huyo Mwanaume mpaka lini kipenzi?
Kwaweli sijawahi ndugu yangu ndo kwanza nilitaka nimtafute huyu .. huwa sipendi sana kuhangaika na michepuko yake lakini huyu kwakweli kazidi mpaka ananitia wasiwasi...
Yaani can you imagine leo katoka asubuhi kazini alikua night... so akirudi asubuhi huwa analala siku nzima ila akianza off ambayo ndo leo kaanza anaweza asilale... sasa kafika kala anasema anataka kutoka... na niliumia kidole so few days sijafua leo nimefua nguo zote kama box*r zake zooote zilikua mbichi kwenye kamba.... huwezi amini kaianua mbichi kakukausha na pasi na kasepa ndo sijamuona hadi sasa maana nilimwambia ni mbichi subiri zikakuke utatoka kaona isiwe tabu kaikausha kwa pasi sasa ndo najiuliza ina maana huyo dada ndo muhimu kiasi hiki
 
Nimekaa nikakumbuka kisa cha mwanamke wa kiNigeria aliekuwa anafukuzia gari lililokuwa na mchepuko+mumewe nadhani...(don rem very well). But akaishia kupata ajali na kufariki katika ile Race. And miezi kadhaa baada, mumewe nae akafariki kwa sabbu ya mawazo kwamba uhuni wake ndio uliommaliza mke wake. Akajilaumu..sana, and nasikia alipata stroke kama sijakosea. So na yeye akasepa...mchepuko probably anatafuta project ingne kuzimu huko....ni vijiwazo tyuuuu🚶🚶🚶
 
Ukimtafuta mchepuko ndo utazidi kuumia na atakuwa anakurusha roho, cha kufanya kuwa busy na issue zako kama huna kazi , tafuta kitu cha kukufanya uwe busy, jitahidi kuvaa, kupendeza na wikiend kutoka out na mwanao ata kwenda kula mihogo tuu au kutembelea ndugu, yani mume akiwa busy na mchepuko nawe kuwa busy na shughuli zako agiza hata chipsi kuku na big pepsi kulaaaaa , life is too short, tafuta pesa tafuta pesa .
Asante sana nashukuru na nimekuelewa pia
 
Ngoja tuwaachie uwanja wenu wanawake wa shoka, boss ladies mpeane maushauri
 
Kwa afya ya roho na mwili wako nakushauri usimtafute huyo mchepuko.

Kama unampenda mumeo na anakutreat vema, hakupigi na anakupa haki zako kama mke na mama mtoto wake basi tulia tu ukimuombea aweze epuka vishawishi.

Ila kama unaona huwezi basi jiondoe tu kimya kimya bila ugomvi wala shari
Asante sana nimekuelewa ndugu
 
Huu ushauri wako kwa MWANAMKE ambaye alishapenda na kumchukulia mwanaume aliyenae kama ndio soul mate wake ni ngumu kuufuata maana moyo ulishapenda, moyo ulisharidhika, moyo ulishataka na kujiaminisha kuwa ni mimi tu. Sasa sijui kama atakuelewa. Let's see bro
Hakika, tunapaswa kutumia akili pia.
 
Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Hapo ndio mnafeli dada zangu kuishi na mtu bila ndoa anakuja na kiburi ambacho hakina maana,ushauri potezea kama mwanzo ulivyokua unafanya ataona ni utoto ataacha ila ukiwafatilia ndio utaibua mengine.
 
Kwaweli sijawahi ndugu yangu ndo kwanza nilitaka nimtafute huyu .. huwa sipendi sana kuhangaika na michepuko yake lakini huyu kwakweli kazidi mpaka ananitia wasiwasi...
Yaani can you imagine leo katoka asubuhi kazini alikua night... so akirudi asubuhi huwa analala siku nzima ila akianza off ambayo ndo leo kaanza anaweza asilale... sasa kafika kala anasema anataka kutoka... na niliumia kidole so few days sijafua leo nimefua nguo zote kama box*r zake zooote zilikua mbichi kwenye kamba.... huwezi amini kaianua mbichi kakukausha na pasi na kasepa ndo sijamuona hadi sasa maana nilimwambia ni mbichi subiri zikakuke utatoka kaona isiwe tabu kaikausha kwa pasi sasa ndo najiuliza ina maana huyo dada ndo muhimu kiasi hiki
Aisee we vumilia ili akupatie zawadi ya Ukimwi kipenzi.
 
Achana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
 
Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?

Usiingie kwenye ndoa ukiwa na wasiwasi… em stop kwanza.
Wasiwasi kwenye mapenzi ni uvumbuzi wa kutambua tayar kuna tatizo
Na dalili hiyo inaonekana wewe ndio unampenda sana ndio maana hajali kuhusu (unataka nisiwe narudi nyumbani) ni jibu tosha kuwa wewe kwake haufurukuti
Cha Muhimu nakushauri kula maisha kwanza
Usije ukasema - SHIKAMOO MAPENZI
 
Asante sana nashukuru kwa ushauri... nitatendea kazi
 
Back
Top Bottom