Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Aisee pole sana ilaa usideal kabisa na huyo mwanamkee.. Mwambie mumeo anachofanya sio sawaa ukiona hataki kujirekebisha aisee hujazaliwaa nae fanya yako hata usimuulize tena yani USIMUULIZE TENA NA MIND UR TIME. ushawahi kufanya mambo yako ukaamua kumpotezea mtu japo utakuwa unaumia ilaa fanya hivyo maumivu yakizidi tafuta Kijamaa kiwe kinakutoa genyeee Alafu jama mbaniee yani bana mchongoo akikuuliza mwambie sikuamini. Enjoy life dada
 
Dada unajua tabia za kiume wewe ngoja nitulie wanaume tunajijua hasa ukiwa na pesa hata wako inawezekana anakuheshim tu hakuoneshi ila nyuma ya pazia unaweza zimia.
Ni sawa hakuna binadamu msafi kinachotakiwa heshima kama haipo🤷🏼‍♀️
 
Habari za muda huu ndugu zangu, ningependa kusaidiwa jambo.

Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko, mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka, huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana simu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke, hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote "Unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio?". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika, akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je, ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Kwa jinsi ulivyojiweka hapa jukwaani inaonyesha ww ni mtu wa Mungu.

Ushauri wangu mtumainie Mungu na ingia Facebook au Google search Iddi makengo huyo ndo binadamu pekee atakayekusaidia la sivyo

........,.........................
 
Mmeona wakuu, Tafuteni hela wakuu, Mwanamke husumbuka akili kwenye hela... Huvumilia kila tukio na hujaribu kulisolve kwa umakini ili asikukose kiufupi hela hufanya uvumiliwe wewe na ufuska wako😁
Hii ndio point wanawake wapo tayari kuvumilia ufuska wako kama ndalama ipo
 
Habari za muda huu ndugu zangu, ningependa kusaidiwa jambo.

Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko, mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.

Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka, huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana simu hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke, hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote "Unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio?". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.

Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika, akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.

Je, ni sawa nikimtafuta huyo dada?
kimtazamo nyinyi niwengi na huyo men yupo kwenye mchujo kuwa makini pia jiandae kisaikolojia mwisho wako ukiwa mbaya maumivu yasiwe makali.
 
Pole mkuu, mimi nakushauri ondoka hapo before it’s too late, don’t invest more time, more emotions sababu it will be very difficult to deal with when unthinkable happens … Huyo mwanaume hakupendi wala kujali hisia zako
 
Akifuata ushauri huu atakuwa hana maana! Kitendo cha mume kurudi hapo ni kuwa anampenda achukue ushauri wa Nyakisesee 2
 
Kile anachofuata huko hata wewe unacho.
Ongeza ufundi kwenye mapishi, ongeza ufundi na huko, mpe mumeo amani, jiweke msafi.

Ukitaka kumpata mwanaume hata Mimi, Ni chakula, Mambo ya ndani na amani.
Unafikiri angepata amani kwako angeenda kuhangaika?
 
Akifuata ushauri huu atakuwa hana maana! Kitendo cha mume kurudi hapo ni kuwa anampenda achukue ushauri wa Nyakisesee 2
Unampenda mtu unamuonyesha dharau za waziwazi…. Basi upendo Una maana tofauti kwa waja na jinsi ya ku express huo upendo… wengine dharau ndio upendo
 
Unamtafuta huyo mchepuko umfanyeje?
Raise your game.
 
Unampenda mtu unamuonyesha dharau za waziwazi…. Basi upendo Una maana tofauti kwa waja na jinsi ya ku express huo upendo… wengine dharau ndio upendo
Tatizo unageneralize! Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na Mwanaume. Kwa Mwanaume mtu anayelala naye Kitanda kimoja hadi asubuhi, anamthamini na kumpenda! Pengine hata sex si lazima. Kwa mwanamume kusex na mtu ni sawa na kupiga punyeto. Ni njia ya kutoa s.hahawa mwilini mwake. Hiyo huyo Mimi21 ndiye mke wa jamaa, wengine ni kwa ajili ya kuziondoa mwilini. Jinsi ya kufanya ni kujua wapi anateleza katika kuhakikisha mumewe anaziondoa mwilini mwake! Wanawake mkilifahamu hili mtatunza ndoa zenu.

Kwa kumalizia, ukitaka kujua watu wameathiriwa na pornography soma uzi wa sex fantasies utajua haiwezekani kufanyika katika ndoa bali nje ya ndoa. Hivyo michepuko ndiyo inayomaliza hamu ya wanandoa hasa wakiwa Vijana. Na huko wakishabilingishana na sarakasi Kibao wanarudi kwa wapendwa wao kuendelea na Kifo cha Mende kinachochosha. Umri ukifika wanatulia ndani ya ndoa
 
Acha kutetea upuuzi, wanaume wengi wanachepuka ila hawaonyeshi dharau za waziwazi, hakuna ndoa hapa…dada separate, mistake ni kusubiri abadilike na kutulia, it will never happen my dear.
 
Issue sio mwanaume kuchepuka
Issue ni kwamba ata unapomkamata kutoonyesha kujali

Wanaume wote tunachepuka pgia mstari , kwahyo usijiongez kwenye u single mama
 
Huyo mwanaume atakusumbua onyesha msimamo wako huyo Ni mtu wake Tena na Kodi analipiwa na atakuwa kaahidiwa ndoa,madam umeshamuuliza na kajua kuwa unajua mpotezee usimuulize chochote kinachomhusu awahi kurudi au achelewe sawa kikubwa fanya mambo yako yanayoweza kukupa furaha .
 
ndoa ni uvumilivu so huna budi kuvumilia thena acha kumfuaatilia saaana utazid kujiumiza tuu
 
Back
Top Bottom