Kumsalimia mtu na kugoma kurudisha salamu Ni dalili zipi hizo?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,985
Naamka asubuhi namuamkia mtu, jirani yangu halafu harudshi salama anaitikia kimkato tu na kutuliaa, hiki kitu kinanikeraa sana naona kama najipendekezaa mimi! Wakati jirani mwingine ananisalimia kwa bashasha na mimi narudisha na kujibu vizuri tu.

Sasa kuanzia Leo salamu yangu hatoisikiaa popote pale.

Hili limekaje wakuu
 
Hawezi kumdharau usiemjua ....hizo ni tabia za waswahili wale wanyonge wa Magufuri....
Mswahili akikuwangia Usiku halafu akikuona defences zako zinapenyeka kirahisi lazima akudharau.

Kwangu mimi walishagonga Mwamba wananiheshimu sana.
 
Ikiwa ni swala la mara moja siwezi litilia maanani maana siku hazifanani. Unaweza kumuona mtu yupo mbele yako kimwili ila kifikra akawa dunia nyingine kabisa na ikawa hata hiyo salamu yako kaijibu akiwa hajui kuwa kaijibu.

Ila likiwa swala la kila siku, kama anajibu hata kama ni bila ya bashasha nitatimiza wajibu wangu wa kiuungwana kwa kuendelea kumsalima japo na mimi itakuwa bila ya bashasha.
Salamu yangu itakoma pale tu atakapoacha kuijibu. Salamu ni ustaarabu tu, kujibiwa kwa bashasha ni matakwa ya aliesalimiwa.
 
Hii ni kila siku Sasa naona kbsa Kam vile hataki
 
Naamka asbh namuamkia mtu ,jirani yangu alfu harudshi salama anaitikia kimkato tu na kutuliaa ,hichi kitu kina nikeraa sana naona Kam najipendekezaa mm! ,wakt jirini mwingine ananisalimia kwa bashasha na mm narudisha na kujibu vzr tu

Sasa kuanzia Leo salamu yangu hatoisikiaa popote pale.

Hili limekaje wakuu

Huenda ndio amezoea hivo ndio tabia yake kwa watu wote lazima acha makasiriko msalimie mtu hata hasipo jibu tatizo libaki kwake na hiyo ndio hekima inayo takiwa sio visasi na makasiriko utakuwa unajiongezea mzigo moyoni mwako achana na hizo itikadi za kusema unajipendekeza hiyo ni hekima na busara yako siyo kujipendekeza, yeye kama amekosa hekima na busara isiwe sababu na wewe kuanza kuipoteza hekima yako 😇
 
Naamka asbh namuamkia mtu ,jirani yangu alfu harudshi salama anaitikia kimkato tu na kutuliaa ,hichi kitu kina nikeraa sana naona Kam najipendekezaa mm! ,wakt jirini mwingine ananisalimia kwa bashasha na mm narudisha na kujibu vzr tu

Sasa kuanzia Leo salamu yangu hatoisikiaa popote pale.

Hili limekaje wakuu
Watu hivo unaakuta umemzidi Maisha so wanakua na wivu wanaumia wanakuchukia
 
Watu hivo unaakuta umemzidi Maisha so wanakua na wivu wanaumia wanakuchukia

Wivu haubadilishi chochote ni kawaida kwa baadhi ya watu kuona wivu, ila linapo kuja suala la kusalimiana inatakiwa umsalimie tu tena kwa bashasha ila aone wivu vizuri,, usikaribishe makasiriko na vijembe visivyo kuwa na maana,, kwa kufanya hivo unavotaka kufanya basi utajiweka kundi moja na yeye kundi la watu waliokosa hekima,busara na maarifa,, akili nyingi bila maarifa ni zero tu
 
Mzee as long as humtegemei mtu yoyote hapo just mind your own business huu mambo sijui ujamaa sijui nini ni fikra mbovu tu.

Salam ya nn achana nae mkuu.
 
Back
Top Bottom