Kumradhi wakuu: Nimetuma maombi ya uwalimu shule 10 Sasa lakini majibu bado nipeni plani B wataalamu

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu kama uzi unayojieleza masomo yangu ya English and Geography inafika wakati najuta kwanini nilipoteza mapesa na muda wangu kusoma hapo namshukuru Mungu kwa nafasi hii ..

Nimezungukia shule kadhaa baada ya kuchukua cheti changu lakini hii wiki ya 4 bado majibu Yao Yana ukakasi...

Najua Kuna watu humu wanapitia Hali hii aisee hakuna wakati mgumu kama wa kusubiri majibu ya ajira hasa ukiwa uko ugaibuni.. Nipo mikoa ya nyanda za juu kusini huku..

Bado naona giza tu Naombeni wenye plan B hapa wale wataalamu wa kudadavua Mada za ajira na Hali halisi ya maisha ya Sasa, hivi wewe msomaji wa uzi huu ukikosa ajira unafanya nini?
 
Vuta subira... kwa maana kuna watu wamesoma engineering na udactari .. huu ni karibu ni mwaka wa 3 hawajapata kazi inayorleweka.. ww unalalamika wiki 4
Wakuu kama uzi unayojieleza masomo yangu ya English and Geography inafika wakati najuta kwanini nilipoteza mapesa na muda wangu kusoma hapo namshukuru Mungu kwa nafasi hii ..

Nimezungukia shule kadhaa baada ya kuchukua cheti changu lakini hii wiki ya 4 bado majibu Yao Yana ukakasi...

Najua Kuna watu humu wanapitia Hali hii aisee hakuna wakati mgumu kama wa kusubiri majibu ya ajira hasa ukiwa uko ugaibuni.. Nipo mikoa ya nyanda za juu kusini huku..

Bado naona giza tu Naombeni wenye plan B hapa wale wataalamu wa kudadavua Mada za ajira na Hali halisi ya maisha ya Sasa, hivi wewe msomaji wa uzi huu ukikosa ajira unafanya nini?
 
Fungua tution centre( day care ndogo) uweunafundisha watoto kuandika na kusoma ukishajulikana wataongezeka wengi wengi sana
Wakifika wanafunzi 100 nakuendelea unalamba pesa yako tu ndefu
100×10000= 1000000

Jiongeze baada ya kukaa tu hivi hivi depression itakumaliza sana

Jishugulishe i
Kidogo kidogo hivyo baada ya Miezi mitano njoo uniambia hapa
 
weka vyeti ndani,kubali kujifunza mambo mapya,,,,focus kwenye kitu unachokipenda(mtaji ni idea,utafanya ata vibarua vya kipuuzi ili ufanikishe idea yako moja tu ambayo ume imaster...) la pili..acha kupoteza muda wa kuilaumu serikali na sisiemu kwa kutokutoa ajira,maana ata chadema wakiingia hawatakupa hela mkokoni...ubahili nao ni muhimu,,ikiezekana kunywa ata chai na magazeti ili bajeti ikae poa
 
Mkuu daycare inahitaji vitendea kazi mtaji hakuna
 
weka vyeti ndani,kubali kujifunza mambo mapya,,,,focus kwenye kitu unachokipenda(mtaji ni idea,utafanya ata vibarua vya kipuuzi ili ufanikishe idea yako moja tu ambayo ume imaster...) la pili..acha kupoteza muda wa kuilaumu serikali na sisiemu kwa kutokutoa ajira,maana ata chadema wakiingia hawatakupa hela mkokoni...ubahili nao ni muhimu,,ikiezekana kunywa ata chai na magazeti ili bajeti ikae poa
Chadema sio ccm wewe subirin 2020 hio ni kura ya chadema bwege wewe.
 
Wakuu kama uzi unayojieleza masomo yangu ya English and Geography inafika wakati najuta kwanini nilipoteza mapesa na muda wangu kusoma hapo namshukuru Mungu kwa nafasi hii ..

Nimezungukia shule kadhaa baada ya kuchukua cheti changu lakini hii wiki ya 4 bado majibu Yao Yana ukakasi...

Najua Kuna watu humu wanapitia Hali hii aisee hakuna wakati mgumu kama wa kusubiri majibu ya ajira hasa ukiwa uko ugaibuni.. Nipo mikoa ya nyanda za juu kusini huku..

Bado naona giza tu Naombeni wenye plan B hapa wale wataalamu wa kudadavua Mada za ajira na Hali halisi ya maisha ya Sasa, hivi wewe msomaji wa uzi huu ukikosa ajira unafanya nini?
Yani wiki nne tu unalalamika?
 
Hali ya maisha inaendaje hapo India mkuu..Papuchi za kihindi umezisiliba kisawa sawa?
 
Doh wafukuq makaburi aseee😂😂😂
 
Back
Top Bottom