Kumradhi Wagogo, inabidi tu niulize

fakalava

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
4,459
6,025
Zamani ukiingia Form One wanafunzi uliowakuta watakuita Mgogo.

Hivi kwa sasa mbadala wa neno hili ni nini?

 
Wapi huko walikuwa wanawaita hivyo?

Huku kwetu ilikuwa ni njuka, nyoya au serengeti boy
 
umenikumbusha kipindi naingia form 1 nilikuwa na kimwili kidogo alafu mijezi mikuubwa, suruali hiloo shati kama nataka kupaaa
siku tupo break kuna mjamaa akanita.. "wewe NJUKA ebu niungie miatatu hapo" kwa jinsi nilivyokuwa mdogo alafu muoga nikatoa mia tatu fasta huku nikibakiwa na mia mbili tu!
baadae nakuja kuambiwa yule mjamaa aliyeniita NJUKA kumbe na yeye alikuwa form one kama mimi... nimuoba mkaksi lakini nilishidwa kumfanya kitu chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…