Division 1 za sasa na za zamani zipi zaidi?

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote.

Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?

20230713_211914.jpg
 
Zamani walimu wanaingia Mara moja Kwa mwez,tukiwa shule tunasema tupo likizo wakati wa likizo ndo tupo shule yaani kila mmoja anasaka material mkoani kwake alipo tukirudi shule tunakomaa wenyewe bila walimu nusu ya darasa wote waliingia chuo
 
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote. Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?View attachment 2687068

Zote hazina maana, haziongezi chochote kwenye maisha, kuna division 3 zipo mbali sana kimafanikio, hata division standard 7 na division no school na zeros, cha maana character, kujibidisha, kutokata tamaa na sala.
 
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote. Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?View attachment 2687068
Hata ubora ni tofauti., na hiyo imeenda mpaka vyuoni. Unakuta mtu ana GPA ya 4.3 lakini hawezi kuitetea.
 
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote. Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?View attachment 2687068
Siku hizi, wanaosoma digrii za ualimu ni wale waliopata division One za 8-9 , sababu ni kuwa wanaamini Ualimu ajira zake ni uhakika, tofauti na zamani. Hilo nalo limechangia na Nina ushahidi wa hili jambo.
 
Mimi naona mabadiliko ya mfumo wa maisha ndio yamechangia div one za zamani kuwa na thamani kulinganisha na sasa.

Na hata shule zilizotoa one za zamami sio shule zinazotamba kutoa div one kwa sasa.

Pia zilikuwa chache hasa kwa shule fulani fulani kongwe.
 
Kwa ufupi tu tuseme old is ever gold au tutumie mfano huu dereva aliye jifunza kuendesha gari kwa aina ya manual na aliye jifunza kuendesha kwa aina ya automatic nani anakuwa bora ?bila shaka dereva aliye jifunza gari kwa aina ya manual. Kufaulu kwa zamani ilikuwa lazima ukusotee.
 
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote.

Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?

View attachment 2687068

Zama hizi za google.

Video Lecture za mambo yote na tutorials zimejaa youtube why watoto wasipige mabanda.

Kuna dogo jirani anakwambia alifanya practical bila kupasua sample..

Maana alishatazama sana youtube na kujua kila practical ina vitu gani.

Yeye akawa anajaza majibu tu kwa kumbu kumbu zake za youtube practical.

Na majibu yalivyotoka akatia A ya biology
 
Zama hizi za google.

Video Lecture za mambo yote na tutorials zimejaa youtube why watoto wasipige mabanda.

Kuna dogo jirani anakwambia alifanya practicle bila kupasua sample..

Maana alishatazama sana youtube na kujua kila practical ina vitu gani.

Yeye akawa anajaza majibu tu kwa kumbu kumbu zake za youtube practical.

Na majibu yalivyotoka akatia A ya biology

Hata zamani pia tulifanya Practical ya Pendulum ku determine acceleration due to gravity bila ku swing pendulum ball….Necta 2006
 
Back
Top Bottom