Kumpiga mgoni wako hakutabadilisha tabia ya usimbe ya mkeo

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Nilishawaambia sihitaji salamu, ukitaka salamu rudi huko kijijini kwenu!

Waswahili na Ujinga ni kama Mapacha vile!

Huwa nashangaa sana mwanaume mwenye akili timamu anapomfumania mkewe yeye huanza kupambana na mwanaume mwenzie badala ya kupambana na mkewe!

Aliyekwambia kumpiga na kumdhalilisha mwanaume mwenzio kutaibadili tabia ya umalaya ya mkeo nani? Mkeo anajua kabisa ameolewa na bado akisimamishwa huko mitaani na vijana anakubali kirahisi na namba ya simu anatoa wanaanza kuwasiliana kisha analiwa kimasihara halafu wewe unakuja kumpiga mwanaume mwenzio, hivi kichwani zinakutosha kweli?

Wanawake wengi sikuhizi ni vichwa maji, anajua kabisa kaolewa na bado ukimsimamisha ukianza kumtongoza atakwambia bila aibu hajaolewa, sasa hapo kosa ni la nani?

Huyo jamaa unayepambana nae kosa lake like wapi? Mkeo angekuwa anajua ameolewa angekubali kutongozwa kijinga?

Mkeo kama anakupenda kweli akitongozwa na kusumbuliwa na kijana wa mtaani ni lazima akwambie mume wake ili umuonye huyo kijana, na asipofanya hivyo it means huyo mkeo ni malaya tu na huwezi kuibadili tabia yake.

Kama mkeo ni malaya utawapiga wanaume wa ngapi? Kwahiyo kila mwanaume atakayekuwa analala na mkeo utapambana nae? Sawa, utapambana na wanaume je, tabia ya mkeo utaibadili?

Mwanamke ukimfumania achana nae ila si kupambana na wanaume wenzio.

Ipo siku utapigiwa mkeo na ukileta kimbelembele na wewe vilevile utapigwa. Yaani mkeo atapigwa na wewe utapigwa!
 
Sisi wengine tuliamua kukaa benchi kwanza tuvute upepo kidogo, ndoa ni zigo zito sana. Uzuri ni kuwa sikuwahi kushuhudia kuwa labda nilisalitiwa.

Ndoa ni sanaa na muda mwingine ni kipaji labda.
Kuna watu hawaishi kwa furaha kisa wanalazimisha "UVUMILUVU" kwenye ndoa.
Wake za watu ni rahisi kuliko hata wanawake wasio na ndoa. Mke wa mtu unaomba unapewa ndani ya siku chache.

Mwakani nitaoa Inshaallah, nahitaji mwanamke wa kiislamu aisee🙏🏼🙏🏼
 
Mwanamke aliye olewa ni rahisi sana kumvua chupi kuliko mwanamke ambaye hajaolewa yani unakuta utani utani mara gafla chupi kavua. sijui ni kwanini inakuaga hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom