Kumpiga mchumba

Kumpiga mchumba

Never say never....
Subiri ukutane na cha kwangu (joking)
Tofauti na walimu wa primary sijawahi kupigwa na mwanaume yeyote except murugulu mmoja hivi.

Kilee kibao hadi leo sijawahi sahau.
Miaka imepitaaa sana, katika harakati za kumsaidia bahati mbaya kwa Siku hiyo nilishindwa kumsaidia.

Niliumia sana kushindwa kumsaidia Siku ile, hata kabla hajanizaba bibao moyoni nilikuwa nalia, na bahati mbaya nilikuwa nimepoteza simu kubwa kiasi kwamba ningekuwa na namba ya staff mwenzangu, ningempigia akanisaidia haraka nikamsaidia Huyu.
Basi nikafanya mbinu nyingine nitowe msaada wa fasta, bahati mbaya nikakosea password Mara tatu simu ikawa blocked.

Yesu na maria niliskia kibao kutoka mbinguni paaaaa! Mkononi nilikuwa nimeshika kusimu cha Nokia, kilidondokea mtaa wa pili

Niliona nyumba zikizunguka

Cha ajabu sikusikia maumivu Siku ile, nilikuja kuumia sikio asubuhi yake na sikusema.

Hivi humu kuna mdada alishawahi kunaswa kibao kama kile???nikiwaza nachekaga maana naona ni upuuzi.

Hivi Huyu kaka alipatwa na nini kibao kile? Na akasema very sorry " sijawahi mpiga mwanamke"

Aisee sidhani kama kuna mwanaume atakuja nizabaga tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom