Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,618
Ila uanze na lile la jana, hamna mwanamke naepokea simu zake kabisa kasoro za mpenzi wangu!
sawa nitakuwa nachagua sasa ya kuamini
sawa nitakuwa nachagua sasa ya kuamini
Ila uanze na lile la jana, hamna mwanamke naepokea simu zake kabisa kasoro za mpenzi wangu!


kwa sababu nimeamua kuchukua zinazonifurahisha nitachukua ila ningekuwa nachukua kwa kureason ile ingekuwa ya kwanza kutupiwa kwenye dustbinHahaha af huwezi amini ila ni kweli ya dhati, nikipokea simu ingine ujue ni ya dada. Sitaki mchezo kabisa mimi when it comes to being frank!kwa sababu nimeamua kuchukua zinazonifurahisha nitachukua ila ningekuwa nachukua kwa kureason ile ingekuwa ya kwanza kutupiwa kwenye dustbin
Mbona nimekwambia naamini babeHahaha af huwezi amini ila ni kweli ya dhati, nikipokea simu ingine ujue ni ya dada. Sitaki mchezo kabisa mimi when it comes to being frank!


Umeona eehMmmh mbona kama unahubiri usiyoyatenda




Haya mamaMbona nimekwambia naamini babe![]()
kama hukupendwa Utaachika kama ulipendwa utaonekana wewe ni kidume.....Ila baada ya kumbembeleza kuna kitu kilitakiwa kifuate









Jamaa unajua sana wewe....Umeona eeh
M mwenyewe nmeshangaa


mwenyewe anasema si kila anachosema anamaanisha mengine anachangamsha genge, nadhali mojawapo la kuchangamsha genge ni hilisio kila kosa linastahili kipigo, mengine unapotezea tu






Kwelimwenyewe anasema si kila anachosema anamaanisha mengine anachangamsha genge, nadhali mojawapo la kuchangamsha genge ni hili


Umefanya vizur alikua anakujaribuWadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Pale Ke anapothubutu kujiweka ktk hali ya ushetani ili amjaribu Me ni Mwanaume wa Dar au wa Mkoani, hatimaye...![]()




Tofauti na walimu wa primary sijawahi kupigwa na mwanaume yeyote except murugulu mmoja hivi.
Kilee kibao hadi leo sijawahi sahau.
Miaka imepitaaa sana, katika harakati za kumsaidia bahati mbaya kwa Siku hiyo nilishindwa kumsaidia.
Niliumia sana kushindwa kumsaidia Siku ile, hata kabla hajanizaba bibao moyoni nilikuwa nalia, na bahati mbaya nilikuwa nimepoteza simu kubwa kiasi kwamba ningekuwa na namba ya staff mwenzangu, ningempigia akanisaidia haraka nikamsaidia Huyu.
Basi nikafanya mbinu nyingine nitowe msaada wa fasta, bahati mbaya nikakosea password Mara tatu simu ikawa blocked.😢😢😢
Yesu na maria niliskia kibao kutoka mbinguni paaaaa! Mkononi nilikuwa nimeshika kusimu cha Nokia, kilidondokea mtaa wa pili😁😁😁😁
Niliona nyumba zikizunguka😂😂
Cha ajabu sikusikia maumivu Siku ile, nilikuja kuumia sikio asubuhi yake na sikusema.
Hivi humu kuna mdada alishawahi kunaswa kibao kama kile???😁😁😁nikiwaza nachekaga maana naona ni upuuzi.
Hivi Huyu kaka alipatwa na nini kibao kile? Na akasema very sorry " sijawahi mpiga mwanamke"
Aisee sidhani kama kuna mwanaume atakuja nizabaga tena.
Ah kumbe haina tija. Mi nikajua ni mambo ya CAG na Kazi NdugaiKiufupi ni kaandika kwamba ameshangaa sugu kuunga mkono harakati za JPM
😂😂😂 Yeah mkuu kujua lazimaaJamaa unajua sana wewe....