Kumpiga mchumba

Kumpiga mchumba

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
252
Wadau Jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori za hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja.

Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano.

Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
 
Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.

Ulikosea kwanini akutukane?

Ilitakiwa akutane navyo kama sita double double halafu unaondoka muda huo huo
 
Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Mbona kama stori haijaisha? Kuna kitu hakipo vizuri moyoni kwamba umejikuta unampenda zaidi au upendo umepungua?
 
Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Kibao tu mkuu unajisifia ebu angalia hapa kwa Avatar yangu alafu njoo niambie unafikiri nilimpiga na nini?
 
kwani we mdomo huna, na wee iungemtukana na yeye muwe mmemalizana
 
Mimi naomba uandike vizuri ili nitoe maoni yangu ...rekebisha hapo kwenye mstari wa pili neno la tatu kutoka kulia
 
nadhan hapo umemuonesha ukoje.
ili hata mkiingia kwenye ndoa ajue mme alie nae anatoaga kipigo. sio kwenye uchumba unaficha makucha.
 
kama hukupendwa Utaachika kama ulipendwa utaonekana wewe ni kidume.....Ila baada ya kumbembeleza kuna kitu kilitakiwa kifuate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom