Kumpenda mtu usiyemwamini!!!!!

Kuwa unampenda kiukweli and yet you don't trust him? How? is it a trust of jealous that is problem here? Au unamaanisha kuwa unampenda ila huamini kama yeye anakupenda kweli.............mwenzenu mie siku hizi nazeeka kichwa haikamati stations
 
Umeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?

BTW hivi unanipenda au ndo unanitamani tu? Lol Nimekumisi mpk meno yamepata ganzi
 
Umeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?

BTW hivi unanipenda au ndo unanitamani tu? Lol Nimekumisi mpk meno yamepata ganzi
Hahahah Babu mie nakupenda ndio maana nimekutrust aisee ila wivu upo. BTW: Mjukuu wako amu naona kachanganyikiwa labda aelezee ni kitu gani kinachomfanya asimtrust huyo mkwe wako babu Asprin
 
Last edited by a moderator:

Afu hebu mkumbushe yale mambo ya mila.... Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwamamke mmoja, right? Kama hatakuelewa mwambie akafanye utafiti kwa mabeberu na majogoo. Ila sasa mwanaume wa ukweli mwenye busara hatakuonyesha kama anazengea kikojoleo chobingo lol

BTW hivi unanipenda au ndo unanitamani tu? Lol Nimekumisi mpk meno yamepata ganzi
 
Reactions: amu
Hahahah Babu mie nakupenda ndio maana nimekutrust aisee ila wivu upo. BTW: Mjukuu wako amu naona kachanganyikiwa labda aelezee ni kitu gani kinachomfanya asimtrust huyo mkwe wako babu Asprin
Haya binti amu ukuye pande hii umwambie mjukuu mtiifu ni kitu gani kinakufanya usimtrust huyo mkwe wangu? Afu uniambie na yeye anakutrust au ndo mmekutana walewale?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: amu

leo juma-vunja jungu!
twende tukamalisie ile wansuki aisee....mbony shafoooo asprooooooooo
 
Reactions: amu

babu dunia ya sasa inatufanya tunaowapenda kwa dhati tusiwaamini MwanajamiiOne wivu
 
Last edited by a moderator:
leo juma-vunja jungu!
twende tukamalisie ile wansuki aisee....mbony shafoooo asprooooooooo
Umeniita Paloooooo.....?

Hahahaha mbon safoo Palooooo...

Saidia mdogo ako amu kuna kidume kinamshusha mtima lol. Hebu cheki na mjeda tuvunje jungu lini sie, hata kama halituhuu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: amu
......do i trust my mister right mzee mzima sosoliso??
Ngoja nikajireview!
 
Last edited by a moderator:
Umeniita Paloooooo.....?

Hahahaha mbon safoo Palooooo...

Saidia mdogo ako amu kuna kidume kinamshusha mtima lol. Hebu cheki na mjeda tuvunje jungu lini sie, hata kama halituhuu

aku babu lanihuuu sana tuu hilo jungu kuu manake halikosi ukoko na mie nautaka huo ukoko!
ila mjeda linamhuu....tuje twende shamba!!!

huyu amu namtafutia somo..............nadhani ntampeleka mombasa huyu!
hajui kuwa mapenzi ni sanaa! ukianza kuleta mambo za trust and lov katika hii dunia ya sasa ni tabu tupu!
ukitaka kufaidi amu bibiwee nkupashe ...relax afu fanya usanii wa maana! hatashuka mtu kwenye haisi, dcm, vits, verossa wala the famous celica! sembuse pick up dabo cabin!!! manina kabisaaa!!!
 
Last edited by a moderator:

Loh mie siku hizi mgeni humu jamvini jamani . . . . sikujua kama kuna speed namna hiyo!
 
Hahahaha hapo nimecheka kwa sauti, manake enzi hizo sie bado twabukua, hiyo makitu ilikuwa inaitwa lori...... Ila uzuri wa hiyo makitu nawe nikupe mfundo bibie, waeza enda nalo kwa starehe (si lina kiyoyozi bana), au ukaenda nalo kanisani/msikitini, Kama vipi laeza kuwa ambulance, au ukatinga nalo shamba kuvuna mihogo na hata msibani likakusitiri ukabeba jeneza LOL.... Ila tatizo sasa, nguo ya kuazima haisitiri makalio.....:clap2:
 
Reactions: amu

hivi umenielewa bibie???
 
babu acha kuchakachua thread yangu
 
Kazi kwel kwel......lakin binadamu yoyote c wakumuamini maana moyo ni msitu mkubwa.
 
Huwezi kupenda pasipo kumwamini umpendaye...upendo wenyewe tu kwa lugha nyingine ni matokeo ya imani...
ha ha ha ha acha hizo bana due to some issues tulizokumbana nazo tunajikuta tunapenda ila no kumuamini
 
Kazi kwel kwel......lakin binadamu yoyote c wakumuamini maana moyo ni msitu mkubwa.
umeonaaaaaa eeeee bora uwe kama mimi tu hata likitokea hauumii sanaaaaaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…