Kumpenda mtu asiyekujua

Tabia ya kuinjoi watu hii wala si nzuri..
 
Mpendwa mtaje jina then wanajf tutaanzisha hashtag kukusaidia..Ukutane nae japo akupe one night stand teh
hashtag mtaanzisha humu? sio mtanzania one night stand sitaki nikimpata nikipiga nae picha tu inatosha
 
happymsaffi, mtu yeyote mwenye akili timamu anayesoma maandiko yako, ataishia kukuona as an idiot, you better think of fighting your ignorance. educated ladies of today do not think of jig-jig, akili yao ipo kwingine; jione kama kiazi katika ubora wake.
 
hashtag mtaanzisha humu? sio mtanzania one night stand sitaki nikimpata nikipiga nae picha tu inatosha
Kuna Applications za kwenye simu na kompyuta zinaweza kukutengenezea picha au video ukiwa pamoja nae
 
kumbe kawaida sipo peke yangu. angalau nimefarijika
 
naogopa kumtaja anaeza kutokea mtu ambae ananifahamu ikawa tabu
 
Fantasy za wasichana bana..Kuna mmoja Paul walker alivyofakiri eti kakanipigia simu kunipa taarifa huku akilia..Nikaamua nimblock tu
Ulishindwa kujiongeza???
 
Wewe utakuwa pepo la ngono njooni kanisani kwetu tukuombea utampenda vipi mtu asiyekujua ?
 
Hiv member hawa ni watu wale wale au ni kwel new member?

Maana mhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…