Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Mara nyingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Unaweza kumfanyia mwanamke wema fulani na anaweza kuwa katika nafasi ya kukulipa pesa nyingi tu, lkn hawezi kuridhika mpaka akupe zawadi ile. Sijui kwa nn
Wanajua kuwa wanaume wanapenda papuch kuliko chochote
 
Wengine lottery wanawin ma milioni wewe lottery umewin sambusa.
 
Habarini ndugu zangu.

Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.

Mm yalinikuta hivi:

Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.

Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".

Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.

Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.

Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:

"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".

Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..

Dah.
Wewe jisifie tu kwa kutembea na mke wangu na hiyo ishu nimeijua kitambo tu arobaini zako zinahesabika afu wewe ni jirani yangu
 
kwa hiyo hukumfanya?

Sikumfanya mkuu nawalasintakaa nijaribu kwani haitalipa ghalama maana ada ya muhula mmoja nimetumia kilo sita kamalengo lingekua nikugegeda kwakutumia hiyo pesa ningeligegeda mizigo tofauti isiyo pungua 20 yenye kiwango cha buku 30 @ navilevile kwangu mimi siwezi kumvua binti eti kisa nimemsaidia
 
Habarini ndugu zangu.

Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.

Mm yalinikuta hivi:

Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.

Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".

Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.

Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.

Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:

"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".

Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..

Dah.
I hope uli Enjoy na imekukolelea ukarudia tena na tena na tena...
 
Kweli dunia ina mambo, Mimi kuna mtoto wa jirani alinipenda sana, alikua hali lakini nikimpa chakula Mimi anakula, ikaendelea hivyo, niliwaheshimu ile familia kama ndugu, niliambulia kupata msaada wa kupata kazi nzuri tu na ikawa mwanzo wa maisha yangu kubadilika hadi Leo.

Kwa ufupi zinaa/ uzinzi wowote hauna matokeo au mwisho mzuri. Mke wa ndio kabisa sitaki hata kuwaza, signature yangu inanikumbusha hilo kola siku.
 
Ah!! Kumbe unakatiza na gari......katiza na mguu kama week hivi uone mikausho inaanzaje.
 
Aise ndio maana naamini Tz hakuna njaa atakama ikitokea watu hawatajali maana kuna kitu wanakipenda sana zaidi ya msosi
Mkuu hii kitu temea mbali ushaenda nchi zenye njaa, mfano sudani somali na ethiopia wakti ule au kwenye makambi ya wakimbizi, watu wanakula mlo mmoja kwa siku lakini wanangonoka usiku kucha, kisha kuzaa ndo usiseme vitoto vidogo vimeza gaa kila kona. Wewe mwenyewe unajua kuwa masikini ndo wanazaa kupita kiasi wakati chakula chenyewe cha mawazo, asubuhi chai rangi na andazi moja, mchana free usiku ugali dagaa chukuchuku mafuta ya kurushia tu
 
Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
Acha uongo
 
Habarini ndugu zangu.

Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.

Mm yalinikuta hivi:

Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.

Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".

Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.

Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.

Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:

"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".

Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..

Dah.
Hahahaha!! Mkuu Mdakuzi mkuu ulijitengezea mazingira ya ushawishi wewe mwenyewe kabisa.

Kuwa karibu na mtoto wake ni njia pekee iliyoashirikia kuwa na wewe unataka umugegede tu mwalimu wetu

Ila ulishindwa uanze vipi mkuu tehteh

Zidisha mapenzi kwa mtoto maana ndo bhasi tena utaendelea kupewa tamu
 
Nikweli kabisa mimwenyewe kuna single mother mji huu nimemsaidia mwanae alishindwa kwenda shule kwaajili ya ada nikajitolea kiroho safi mwezi uliopita matokeo yake mama mtu amejaa mazima kwamba kwakua hana cha kunilipa basi anipe pumziko nikamwambia hapana siku zote mpe asiyekupa ukimpa aliye kupa utakua hujampa bali umemlipa
uwongo huo... kwa zama hz ukatae papuchi.. thubutuuuuuuu!!!!!
 
Mkuu tatizo watu huwa tunachanganya papuchi nikutu kingine na msaada nikitu kingine usimsaidie mtu kwakulenga kitu hapo utakua hujamsaidia bali umejisaidia
 
kumsaidia sijakataa... ila kusema ye mwenyewe kajileta ukakataa.. "loading...!
 
Back
Top Bottom